Hivi CCM wanachama wake wengi ni kina mama?

Hivi CCM wanachama wake wengi ni kina mama?

Sampol

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
30
Reaction score
1
Leo nipo maene fulani ya Lushoto mkoani Tanga sasa hawa wanachama wa chama cha ma,.. wanafanya kikao ndio na shangaa kuona asilimia kubwa ni madela tu na mitandio ila suruali hakuna kabisa sasa ndo nkawa najiuliza hiki chama kinawanachama wengi sketi?!
 
Kina mama wanadanganywa kwa kilemba cha kichwa Na hivj kuna Madela basi usipime bei ni sh.3,000 tu
 
wamama ni rahis sana kurubuniwa mkuu..na ndio wapigaji kura,vijani siku ya kupiga kura kila mmoja anajifanya mishe zimemzidi
 
Back
Top Bottom