Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jul 1, 2017 #1 Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa. Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!?
Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa. Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 Jul 1, 2017 #2 Dawa ni kuacha kwenda mkuu hulazimishwi, wewe changia alafu usiende.
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,391 Reaction score 13,428 Jul 1, 2017 #3 Mbona ni rahisi mkuu, Kwaito zipo tangu miaka ya 90 , Uchezaji wake ni rahisi, unafuata maadili na huburudisha, Tizama wimbo wa brenda faso weding day
Mbona ni rahisi mkuu, Kwaito zipo tangu miaka ya 90 , Uchezaji wake ni rahisi, unafuata maadili na huburudisha, Tizama wimbo wa brenda faso weding day
simpasa 202 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 297 Reaction score 202 Jul 1, 2017 #4 Dawa ya moto ni moto,,
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Jul 1, 2017 #5 ...Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!? Sherehe inaweza kufanyika bila kwaito..hiyo ni mbwembwe tu na kiburudisho
...Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!? Sherehe inaweza kufanyika bila kwaito..hiyo ni mbwembwe tu na kiburudisho
L lulu za uru JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,749 Reaction score 3,462 Jul 1, 2017 #6 Mimi Inaniboa sana kwaito kuingia zawad kucheza hakuna nyimbo za bongo...i