The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Naomba kujua hili.
Bado kuna jamii zinakataza binti yao mdogo asiolewe kabla ya dada zake wakubwa kuolewa? Kwamba atawaletea mkosi wasiolewe kabisa?
Kuna binti mmoja mzuri ananipenda sana, anatamani nimuoe na mimi nikamwambia sina hiyana kabisa kuhusu hilo ila anahofu kua hatakubaliwa nyumbani kwao aolewe kwa sababu dada zake wakubwa wawili hawajaolewa hivyo ananiomba kama nakapenda nisubirie dada zake waolewe kwanza.
Nimemuuliza je wasipoolewa itakuaje? Amekosa jibu anasema ni utamaduni wa kwao na anaogopa kuonekana mbaya.
Binafsi nafikiria kumchukua sabstitute wake(reserve) maana naona kama kwa utaratibu kama huu naweza kusubiri miaka. Nilieaza kumtundika mimba kisha nione kwao watakubali kukaa nae kisa dada zake hawajaolewa au watasema tuoane tu ila nimeona haina maana.
Kwamba kumbe bado tamaduni za kidwanzi zinatamalaki karne hii?