Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,425
- 222,617
lini timu ya Yanga ikamuonea huruma Simba au timu ya Simba kuionea huruma Yanga? Sasa wewe umeanza lini kuzionea huruma pesa za CCM?Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?
Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?
Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.
View attachment 2988694
Kweli kabisa, niliona nikajiuliza hivi huko CCM yeyote tu anaweza kuzunguka nchi nzima anafanya mikutano.Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?
Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?
Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.
View attachment 2988694
CCM Sasa Hivi Joto Kali Wanahaha Eti Wanasema Kukinusuru ChamaKatibu wa Wazazi
Shetani kavamia Mashuleni huko boarding
Kwi Kwi KwiNi hivi Amos alitakiwa awe Katibu Wazazi na Ally awe Katibu Mwenezi.
Toka mwanzo nililiona hili!
Halafu mtoa mada bwege mwenyewe.
Noma kweli yaani!CCM Sasa Hivi Joto Kali Wanahaha Eti Wanasema Kukinusuru Chama
Sasa Viongozi Aina Ya Hapi Hata Pilipili Hoho Zilogoma Kumea Shambani Mwake Atawashawishi Nini Watanganyika
CCM Imekuwa Kama Pombe Ya Ngomani Kila Mlevi Anachota Anakunywa
Kwani lisu anaongelea masuala ya muungano kama naniiHizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?
Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?
Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.
View attachment 2988694
Swali lako ni zuri lakini liko nje ya madaKwani lisu anaongelea masuala ya muungano kama nanii
Umeelewa madaCHADEMA mmeishiwa hoja na kubaki vituko wa kutukana matusi na kuropoka ropoka kama mtu mwenye matatizo kichwani. Kaeni kwa kutulia maana naona mmebanwa mbavu mpaka mnashindwa kupumua. Kwa sasa mnavutishwa hewa ya moto.
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?
Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?
Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.
View attachment 2988694
Wewe chawa unapoteza mwelekeo sasa. Inabidi wanaokutumia na kukulipa wajitafakari.CHADEMA mmeishiwa hoja na kubaki vituko wa kutukana matusi na kuropoka ropoka..
Chadema yakina Dr.Slaa,Wangwe ilikuwa haijapoteza dira kama hii ya akina Jacobo,wala haikuwa inahoja za kipuuzi kama hizi,yaani ushindwe kueneza chama sababu chadema wanaona cheo chako ni kidogo,hovyo kabisa.Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?
Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?
Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.
View attachment 2988694
Kuna kipi cha ajabu hapo cha kushindwa kueleweka?Umeelewa mada