Hivi Ajira zinatoka lini!???

ProcrastinatorInChief

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
13,002
Reaction score
29,466
Habari za asubuhi wana jf..

kuna swali moja kama kuna mtu anaweza kunijibu tafadhali naomba ufafanuzi..

mwaka jana Mwanangu wa Kwanza alimalza chuo..
Ila naona Yuko Nyumbani hana kazi wala ajira na naona serkali imesitisha ajira na tukijaribu kuuliza hapa na pale jibu ni kwamba watatoa tu ajira wasubiri..

Baadae nikamsikia Rais Magufuli akitangaza kustisha ajira ili kupisha uchunguzi wa wafanyakazi hewa na alitoa miezi miwili zoezi likamilike na kutoa ajira mpya mbona siku zinapiata na hatuoni hzo ajira tatizo ni ninini?
na naona mwanangu anakuwa mnyonge sana hapa nyumbani..
 
Raisi hana time na wasio na ajira. Sio kipaumbele chake
 
Pale viwanda vitakavyotengenezwa vyote, hili la ajira sio kipaumbele cha serikali Bali ni kuhamia Dodoma.
 
Mwaka unaisha rais hajaajiri watu wa chinib zaidi ya kuteua washkaji zake kulipa fadhila,
Viwanda ni ndoto bado
 
hahaha rhetorical question eeeh rais wa wanyonge rais wa masikini rais wa watanzania wote but ccm ndoo kipaumbele chake
 
Hata ukijiingiza kwenye kilimo bado utakuwa unalitumikia taifa, fikra potofu za kukomalia kuajiriwa ndiyo kulitumikia taifa
 
Hata ukijiingiza kwenye kilimo bado utakuwa unalitumikia taifa, fikra potofu za kukomalia kuajiriwa ndiyo kulitumikia taifa
ww tope tena la ccm kilimo soko la bidhaa unatoa wapi kubweka
 
kama unashuguli ya kufanya ni bora uwekeze nguvu huko tu ni bora ajira ikusubilie wewe sio wewe uisubirie ajira na huku ukivuta subira huku ukiwa na hope one day mambo yatakuwa sawa & never give up!
 
Ni uvumilivu tuuu, nafasi zitatoka coz short list ya majina bado ila nimesikia kuajiriwa kwenye novemba mtaajiriwa.......Daah vumiliya tuu wng hata mm nilivumilia sana hadi mwaka jana ndiyo niliajiriwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…