Unampeleka kote huko
Geography tu inamtosha kila eneo la ardhi lina mahali ambapo longitude na latitude zinakutana pale kwenye intersection point
Kuwa popote unapisimama au kukaa kuna longitude na latitude inapita juu yako na zinakutana kwenye intersection hapo ulipo rubani anaachia kitu kizito kutwanga hapo kwenye intersection point ulipo na unakuwa marehemu dakika tu
Tatizo wengi hawazingatii masomo utasikiia ohh tunasoma theory latitude na longitude zitatupeleka wapi ? Wastage of time
ona sasa mleta mada alivyo bwege hata hajui hata air force wanawezaje kulenga target
Ndio maana wanaanga wengi lazima Course ya PGM yaani Physics, Geography na Mathematics ipande. Kichwani hasa na mambo ya longitude na latitude yakae vizuri.kichwani na calculations zake za intersection point