Hivi Air Force wanalengaje Target?

Hivi Air Force wanalengaje Target?

Salaam, najiuliza hawa mfano IDF huwa wanajuaje Millitary target zao sababu hayo ni maeneo ya siri, mfano wamepiga vitu kibao Yemen wanajuaje latitude hii au longtide hii kuna ghala la silaha , au kuna tanks za mafuta n.k na hawakosi Shabaha
si wanachukua raman ya nchi husika wanapima na kwa kamba (au uzi) mkuu kama tulivokuwa tunafanya olevel geography ni hvo simple tu.
 
Kasome Projectile utaelewa. Mimi sina mda wakukuelezea
Anachouliza sio silaha inafikiaje shabaha (target)? Anauliza, wanajuaje pale pana shabaha inatakiwa kupigwa?

Boli linatembea, kabla ya kupigwa wanakuwa wamefanya study na zipo njia nyingi za kufanya hivyo. Mosi, kuna mashushu; informants wao ndani ya nchi au infiltrated. Usually, hawa wakikamatwa huwa ni kifo.

Pili, technology kupitia mawasiliano mbalimbali ya simu, mitandao, n.k. kusikilizia na kuchambua maongezi.

Tatu, satellites. Huko angani wamejaza masetelaites sio poa. Harakati za kijeshi kama haziko protected vizuri wanaziona.

Ndege za uchunguzi. Wanarusha ndege na low altitude surveillance equipments, radars, etc kupata taarifa mbalimbali za kijeshi.

Vifaa vya Tehama vya matumizi ya kawaida, like computers, cameras, etc. Hujasikia wakikataza matumizi ya vifaa na software mbalimbali kwa sababu za kiusalama? Sakata la Huawei hukulisikia? Sakata la Karspersky antivirus nalo. In short wana kila aina ya mbinu.
 
Salaam, najiuliza hawa mfano IDF huwa wanajuaje Millitary target zao sababu hayo ni maeneo ya siri, mfano wamepiga vitu kibao Yemen wanajuaje latitude hii au longtide hii kuna ghala la silaha au kuna tanks za mafuta n.k na hawakosi Shabaha
Kazi ya Agent wa Aridhini ambapo hapa Agent hupandikiza vifaa vitakavyoongoza Kombora kufikia Tageti yake.


Kazi ya Satelaiti, ambazo baada ya Tageti kutambulika, Satelaiti huliongoza Kombora Hilo .


Kwa Sasa Kuna AI.


Kwa Ufupi, Mzungu ni mtu na nusu.
 
Salaam, najiuliza hawa mfano IDF huwa wanajuaje Millitary target zao sababu hayo ni maeneo ya siri, mfano wamepiga vitu kibao Yemen wanajuaje latitude hii au longtide hii kuna ghala la silaha au kuna tanks za mafuta n.k na hawakosi Shabaha
Nahisi wengi hawajakuelewa, ila hayo ni mambo ya kijajusi. Kuna Agents kwenye nchi hasimu kazi yao ni kusoma harakati za nchi husika, maeneo ya siri n. k
 
Ni physics buda.

Ukipata D mbili rudia pepa mpaka upate A mbili.
 
Back
Top Bottom