H herman relay New Member Joined Aug 15, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Aug 28, 2013 #1 waungwana Masada wa kufahamu kama matumiz ya mswaki yanaweza kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi
waungwana Masada wa kufahamu kama matumiz ya mswaki yanaweza kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,677 Reaction score 14,002 Aug 28, 2013 #2 herman relay said: waungwana Masada wa kufahamu kama matumiz ya mswaki yanaweza kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi Click to expand... haswaaa live bila chenga,kiulainiii kama unalia vile,tena docta MziziMkavu atakuelezea vizuri zaidi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
herman relay said: waungwana Masada wa kufahamu kama matumiz ya mswaki yanaweza kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi Click to expand... haswaaa live bila chenga,kiulainiii kama unalia vile,tena docta MziziMkavu atakuelezea vizuri zaidi
H herman relay New Member Joined Aug 15, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Aug 28, 2013 Thread starter #3 steveachi said: haswaaa live bila chenga,kiulainiii kama unalia vile,tena docta MziziMkavu atakuelezea vizuri zaidi Click to expand... Daaaah Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
steveachi said: haswaaa live bila chenga,kiulainiii kama unalia vile,tena docta MziziMkavu atakuelezea vizuri zaidi Click to expand... Daaaah
Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,932 Reaction score 4,049 Aug 28, 2013 #4 herman relay said: Daaaah Click to expand... vip mbona wasikitika mkuu?
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,677 Reaction score 14,002 Aug 28, 2013 #5 herman relay said: Daaaah Click to expand... sasa mkuuu,miswaki yote iliisha au hata mikaa na miti kaka??,enewei,kwa nn umeuliza hlo swali bro?
herman relay said: Daaaah Click to expand... sasa mkuuu,miswaki yote iliisha au hata mikaa na miti kaka??,enewei,kwa nn umeuliza hlo swali bro?
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,336 Aug 28, 2013 #6 herman relay said: waungwana Masada wa kufahamu kama matumiz ya mswaki yanaweza kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi Click to expand... vipi umeshea mswaki na nani?
herman relay said: waungwana Masada wa kufahamu kama matumiz ya mswaki yanaweza kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi Click to expand... vipi umeshea mswaki na nani?
H herman relay New Member Joined Aug 15, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Aug 28, 2013 Thread starter #7 Mtende said: vipi umeshea mswaki na nani? Click to expand... Ndo hivyo mtu wangu