Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,058
Sikuhizi Rapid Test Kit ndio mpango mzima Condom byebyeNaomba kuuliza, hv mpango wa serekali kuruhusu watu kujipima wenyewe HIV ulisharuhusiwa. Sheria ilishapitishwa?
Sometimes mtu anaweza akawa nayo na isonekane kwa wakati huo.Sikuhizi Rapid Test Kit ndio mpango mzima Condom byebye
Hilo nalo tatizo inabidi kuwa na subiraSometimes mtu anaweza akawa nayo na isonekane kwa wakati huo.
YeahHilo nalo tatizo inabidi kuwa na subira
Naomba kuuliza, hv mpango wa serekali kuruhusu watu kujipima wenyewe HIV ulisharuhusiwa. Sheria ilishapitishwa?
Kwahiyo nikivitaka vifaa nimpaka niende hospital ya wilaya. Je hakuna mlolongo na maswali mengi. Kwann visiuzwe maduka ya dawa ili iwe rahisi kupatikana?Sheria ilipitishwa na kusainiwa na upimaji umeshaanza,eg kwa huku niliko vifaa vinapatikana hospital ya wilaya tu(nafikiri maeneo yote itakua hivyohivyo)
Kwanini?Mtaua watu na vifaa vya majaribio