Hii tu ndio suluhu kwa tatizo hili. Unyanyapaa wa aina fulani utakao-frain watu kupata maambukizi. Tukiona aibu basi tumekwisha. Nambiwa hata katika enzi za ukoma; Mungu aliamuru vikali kuwatenga na kuwanyanyapaa wakoma na hadi ukapungua.
Put yourself in the shoes ya muathirika ndugu yangu. Una ubavu wa kuongea hivi kwa sababu hauja upata plain & simply. Kauli yako ina tokana na ignorance na kuto kujua madhara ya stigma. Kama una taka maambukizi ya pungue watu waache ngono zembe na wapime kabla ya kuengage in sex. Limgine ni kupunguza promiscuity. The solution to HIV is not to look at others but to look at yourself and take care of yourself.
Ni fikra sawa lakini what if what we have been doing is yielding no seeds whatsoever. The best sustainable solution can not be simple BUT stringent always. We must take the hardway, all simple ways and means are useless and a source of other curse - theft and murder. Think it outside the box. EXAMPLE: If we were given a room to make public hearing on decision whether to have jails, you know exactly according to your sense of humour and your thinking what might have happened. No jails etc. Lets be realistic. Unafiki siku zote ndio unatumaliza ndugu yangu.
To brand them will be a form of discrimination. These fellow citizens of ours are already suffering because of stigma. If me & you didn't stigmatize them bona they would come out in public themselves? If we stop stigmatizing them they will stop seeing their condition as shame and will come open with it. Tuku bali tu the population at large is the problem not only this small group. Kapime wewe na mpenzi wako, kuwa muaminifu then you will never have to worry about who else is HIV+ or not.
Kupima iwe ni lazima basi kwa kuanzia kama a very soft measure to refrain people from enganging in uprotected sex. Na kuwe na incentives; kama pengine mshahara kuwa juu, na njia nyingine yeyote nzuri ku-promote safe sex behaviour. Na then kuwe na means kuzuia maambukizi mapya kwa kuregulate guest houses and hotels na review ya sheria ianyohusina na mambo ya kujamiiana. Then we discriminate if all will not work