House4Sale Hitaji la nyumba

tricecriss

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
225
59
Habarini wanaJF kuna ndugu yangu anahitaji nyumba maeneo ya kimara iwe na vyunba viwili vya kulala,sebule ,jiko na choo luku ya peke yake maji hakiwa ya kushea sio mbaya iwe na fance na parking na angependa kuhamia mwezi wa kwanza isiwe mbali na barabara.bei 250000. DALALI HKUBALIKI LABDA KWA NUSU BEI. TTukutane PM
 
Subiri miujiza kupata hiyo nyumba bila dalali. Kwanza sijakuelew kichwa cha habari kimesema nyumba inauzwa mara unandugu yako anatafuta nyumba HOW
 
Selling this beautiful home with three bedrooms, one master room,
Dining & living room area, kitchen & store ...
The house is tiled, full sliding windows. With beautiful view ..

It has Enough car paved parking space,
electric & 24hrs of Dawasco, water supply..
Price is reasonable, asking price tsh. 80mil. (Fixed).

For interest & view contact us @ +255715547184;
Located in Zakhem, Dar es ... Tanzania.

TMPDOODLE1481793772295.jpg

TMPDOODLE1481793891409.jpg
 
We utakuwa dalali pia....weka mambo wazi

Ova
Ndugu yangu ndio anaetafuta ningekuwa dalali singesema dalali haitajiki na kama ningekuwa dalali ningempa deal akanipa commission yangu JIONGEZE
 
.....acha kuendekeza njaa;kwahiyo unataka kumpiga wewe ndugu yako cha udalali!...
..aliefika kiwango cha kuafford 250k pango hawezi kuwa na hizi pigo unazoleta wewe!
 
MnasemagA hivyo hvyo...jf nshafanya biashara nyingi mtu kujifanya mtakaji mwisho wa siku naye anataka ganji..no kawaida tu lkn kikubwa biashara iweke wazi

Ova
Ndugu yangu ndio anaetafuta ningekuwa dalali singesema dalali haitajiki na kama ningekuwa dalali ningempa deal akanipa commission yangu JIONGEZE
 
.....acha kuendekeza njaa;kwahiyo unataka kumpiga wewe ndugu yako cha udalali!...
..aliefika kiwango cha kuafford 250k pango hawezi kuwa na hizi pigo unazoleta wewe!
Tusipimane imani kama huna cha kusaidia kaa kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom