mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
mimi nina kilo mia tatu, vipi utanifikiria mzee?
Picha yake kama ya Visumbizi vya Star Times yaani iko Down sana inaumiza macho kama ndio mfano wako huu uliouweka Kwa Mjanja hawezi nunua.. na cha muhimu kwenye Kuuza Projector ni hiyo Bulb yake ime run masaa mangapi kwa sababu life ya Bulb ni 3000 hours only then inazima hadi nyingine uibadilishe na price zake hazina tofauti ya bei ya hiyo projector yako... ila imekaa kama ya kizamani zamani nilishaziuza sana hizi Moja nilimuuzia Marehemu JB Belmont ila ilikuwa fresh sana pale Tabata.Nice and very little used HITACHI PROJECTORS from USA available,
models; cpx-260 , cpx-256 , cpx-251
Project large image in the screen up to 300 inches diagonal.
They can be suitable for various functions, watching movie on big screen, watching football match on big screen, presentations, church functions etc.
Only TSH 560,000/= ! Serious buyer call: 0752-858693 / 0714-345958
Items location: Ubungo, Shekilango, Dar es salaam
Picha yake kama ya Visumbizi vya Star Times yaani iko Down sana inaumiza macho kama ndio mfano wako huu uliouweka Kwa Mjanja hawezi nunua.. na cha muhimu kwenye Kuuza Projector ni hiyo Bulb yake ime run masaa mangapi kwa sababu life ya Bulb ni 3000 hours only then inazima hadi nyingine uibadilishe na price zake hazina tofauti ya bei ya hiyo projector yako... ila imekaa kama ya kizamani zamani nilishaziuza sana hizi Moja nilimuuzia Marehemu JB Belmont ila ilikuwa fresh sana pale Tabata.
wewe unavyojiita Android sio Sifa za Kijinga? Kutukana mtu Dog nayo ni Sifa ya Kijanja? Jiheshimu Uheshimiwe Mkuu Nakusabahi tu pengine bado hujakua maana Utakuja Acha tu.sifa za kijinga dog!

400 vp?