Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,136 Reaction score 58,668 Aug 14, 2026 #1 Historia inatuambia mengi kwamba unaweza kutumia historia kujua future itakuwaje. Its is true?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 60,529 Reaction score 175,138 Aug 14, 2026 #2 Yeah inawezekana, hata kama uliacha bia miaka 20 nyuma , kuna kauwezekano ukaja kunywa tena , tofauti na mtu ambae hajawahi gusa kabisa
Yeah inawezekana, hata kama uliacha bia miaka 20 nyuma , kuna kauwezekano ukaja kunywa tena , tofauti na mtu ambae hajawahi gusa kabisa
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,136 Reaction score 58,668 Aug 14, 2026 Thread starter #3 min -me said: Yeah inawezekana, hata kama uliacha bia miaka 20 nyuma , kuna kauwezekano ukaja kunywa tena , tofauti na mtu ambae hajawahi gusa kabisa Click to expand... sahihi kabisa
min -me said: Yeah inawezekana, hata kama uliacha bia miaka 20 nyuma , kuna kauwezekano ukaja kunywa tena , tofauti na mtu ambae hajawahi gusa kabisa Click to expand... sahihi kabisa
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,888 Aug 14, 2026 #4 Sio kila historia ni ya kweli, kumbuka history is written by victors. Sasa unataka kutabiri future yako kwa kutumia stori za uongo za watu walioshinda zamani?
Sio kila historia ni ya kweli, kumbuka history is written by victors. Sasa unataka kutabiri future yako kwa kutumia stori za uongo za watu walioshinda zamani?
Archnemesis 2-0 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2024 Posts 1,564 Reaction score 3,274 Aug 14, 2026 #5 Tabia ya mwanadamu ndio ile ile ata evolve Hadi aimalize Dunia mwenyewe Kisha 'Great Reset' ifanyike ngoma ianze tena..
Tabia ya mwanadamu ndio ile ile ata evolve Hadi aimalize Dunia mwenyewe Kisha 'Great Reset' ifanyike ngoma ianze tena..