Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 4,485
- 11,037
Wajuzi wa mambo tupeni elimu juu ya hiki kitabu.
Kama ni hiki basi sijisumbui kukitafuta
Tutaweza ku uncode hizo codes?
Funguka kidogo mkuu maana inaonesha unajua jambo muhimuMambo ya ufalme wa Akkadians hayo, Mesopotamia.
Inawezekana tu, kila kitu kinawezekana chini ya jua.Tutaweza ku uncode hizo codes?
Kuna codes hazijaweza kuwa uncoded since then
Mkuu ndo code zipi hizo ??Kuna codes hazijaweza kuwa uncoded since then
Ndio code zilizo codedMkuu ndo code zipi hizo ??
Huwa madude huwa naona yamejaa uongo na utapeli mwingi..
Sema huo uongo na utapeli tupate maarifaHuwa madude huwa naona yamejaa uongo na utapeli mwingi..
Kwanini mkuuKama ni hiki basi sijisumbui kukitafuta
Funguka mkuuMambo ya ufalme wa Akkadians hayo, Mesopotamia.