History Of The Necronomicon kwanini Ni Kitabu hatari

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
4,485
11,036
Wakuu JF ni chuo cha maarifa makubwa maana kumejaa ma-GT,katika pitapita zangu nimekutana na historia kwa ufupi kuhusu kitabu hiki "History of the necronomicon"ambacho kinasemekana ni kitabu hatari sana.

Sasa naomba wajuzi wa mambo waje kutufumbua macho tusiojua juu ya kitabu hiki kina siri gani mpaka kiwe hatari mpaka watu kuzuiliwa wasikisome.

 
Nakuu kwa maelezo yako hapo kuwa ni kitabu kilizuiwa kisisomwe sasa sisi tutakujaje na mrejesho wa kuhusu icho kitabu elewa kimezuiwa mkuu.
 
niliwahi kubahatika kisehemu kidogo cha icho kitabu nacho kiliandikwa hivi;-

I remember when I found it—in a dimly lighted place near the black, oily river where the mists always swirl. That place was very old, and the ceiling-high shelves full of rotting volumes reached back endlessly through windowless inner rooms and alcoves. There were, besides, great formless heaps of books on the floor and in crude bins; and it was in one of these heaps that I found the thing. I never learned its title, for the early pages were missing; but it fell open toward the end and gave me a glimpse of something which sent my senses reeling.”
 
announcement: READING THE NECRONOMICON LEADS TO TERRIBLE CONSEQUENCES, like madness and consumption by demons....(KUSOMA NECONONIKI HUSABABISHA MATOKEO YA KUTISHA, kama wazimu na ulaji wa pepo.)
 
Ni propaganda tu hamna kitu.
Hata Biblia zamani ilikua ni marufuku kuisoma isipokua kwa watu maalumu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…