History of PhD...

Tumain

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2009
Posts
3,154
Reaction score
74
Kuna watu hapa JF kila mara wanaleta dharau kuhusu madrasa za kiislamu napenda kuwajibu yafuatayo:-
1. Madrasa ilianza karne nyingi zilizopita na ndio mwanzo wa elimu yote duniani
2. Madrasa zitabaki na watu wenye heshima tumepita huko ni sehemu ya kupata elimu na maarifa ya dunia, maarifa ya Muumba na Ulimwengu, ni sehemu yenye kufundisha haki..ni tishio kwa wasio penda haki na wenye kudhulumu kama US and its allies

briefly embu angalia hii!
History of the Ph.D. degree
The origins of the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Doctorate"]doctorate[/ame] dates back to the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Ijazah"]ijazat[/ame] attadris wa 'l-iftta ("license to teach and issue legal opinions") in the medieval [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Madrasah"]Madrasahs[/ame] from the 9th century, though it was limited to [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Sharia"]Islamic law[/ame] at the time, as in a [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Doctor_of_Laws"]Doctor of Laws[/ame] degree.[3] The doctorate was later extended to philosophy in the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Europe"]European[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Universities"]universities[/ame] in the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Middle_Ages"]Middle Ages[/ame] which generally placed all academic disciplines outside the professional fields of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Theology"]theology[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Medicine"]medicine[/ame] and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Law"]law[/ame] under the broad heading of "philosophy" (or "[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Natural_philosophy"]natural philosophy[/ame]" when referring to [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Science"]science[/ame]). The degree of Doctor of Philosophy was a doctorate, generally granted as [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Honorary_degree"]honorary degrees[/ame] to select and well-established scholars.[[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Citation_needed"]citation needed[/ame]]
Fuatilia historia ya dunia na mwanzo wa maarifa utajua mchango wa madrasa katika ustaarbu wa dunia....
 
Tumaini nani anakudharau tena?

nani anayesema madrasa ni mbaya nani huyo tumfunde?

hawaoni kuwa madrasa inasaidia watu kuwa na elimu, ni mwanzo wa elimu, shule za kiislamu zinafanya vizuri Tanzania kwa sababu ya madrasa, hivi shule gani ya kiislamu mwaka jana iliongoza kitaifa, waambie mwe!

waeleze kuwa maendeleo ya sayansi na teknolojia yalianzia madrasat,

Isaac Newton, Einstein, Faraday, Ohm, Galileo wote walipitia madrasa.

Ukitaka wakuelewe achana na historia, weka kitu kinachoishi sasa kinachothibitisha madrasa ni nzuri, bila hivyo hawatakuelewa mkuu wangu ebu wape.

waaambie JK alipitia madrasa Bagamoyo, waambie Yahaya na Makamba walihudhuria siku zote.

waambie waarabu vitabu vyao vimendikwa kiarabu,shule zao wanasoma kiarabu mpaka vitabu vya advanced technonology vimeandikwa kiarabu, wakisoma madrasa wanatumia ligha hiyo hiyo mpaka vyuo vikuu, na kwa namna hii wanakuwa wazuri.

waambie kuwa madrasa za Tanzania wanatumia kiswahili sio kiarabu, hivyo wanaelewa tangu kila kitu!

waambie!
 
acha uongo, Isaac Newton, Einstein, Faraday, Ohm, Galileo hawakupitia madrasa wewe, acha uongo wako!!!!
 
acha uongo, Isaac Newton, Einstein, Faraday, Ohm, Galileo hawakupitia madrasa wewe, acha uongo wako!!!!

Loh! nimecheka mkuu wangu

Hivi haujagundua ninamtania mtoa maada! ebu rudia tena kusoma post yangu, kila nilichoandika kiko kinyume na mtoa maada. Kwa mfano kwenye lugha, waarabu ile ni lugha yao na ndiyo wanaitumia shuleni na ni wazuri

sasa uanze kumfundisha mtoto kiarabu hapa Tanzania, kisha kiswahili aende kwenye kiingereza si hatari hiyo??

Nataman madrasa zote zianze kufundisha kiingereza!!! LOL!

Uwe unasoma kwa makini mkuu!
 
Hivi nyie watu mnaelewa maana ya neno MADRASA, au mpo kiushabiki tu au kwa sababu neno Madrasa linatumiwa na Waislam!?

Madrasah* or Madarasaa, (Hebrew Midrash), Waswahili nasi tukatohoa ilo neno na kuita Madarasa. kwa maana ya wingi na neno DARASA. Sasa ni mwanafunzi gani ambaye hakuwa kupitia madarasani?

*"a place where learning/studying is done".

* Madrasah ʿāmah (Arabic: مدرسة عامة&#8206😉 translates as "public school".
* Madrasah khāṣah (Arabic: مدرسة خاصة&#8206😉 translates as "private school".
* Madrasah dīniyyah (Arabic: مدرسة دينية&#8206😉 translates as "religious school".
* Madrasah Islāmiyyah (Arabic: مدرسة إسلامية&#8206😉 translates as "Islamic school".
* Madrasah Jāmiʿah (Arabic: مدرسة جامعة&#8206😉 translates as "university".
 
Sielewi mnachobishana na kushindania hapa.

Binafsi kwa sababu nimeamua ku-embrace ilmu, sichagui ilmu ilianzia wapi au nani kaileta. Maana naamini kuwa ilmu yatoka kwa yeyote kama vile ukweli unavyoweza kusemwa na yeyote.

Kila jamii ina mchango wake ktk maendeleo ya sayansi na technology, na kwa kiwango kikubwa mchango wa wasomi wa kale wa kiarabu na kiislamu ulikuwa ni mkubwa tu..

Mathalan, duniani kote twajua jinsi tarakimu za kiarabu zilivyoweza kusimply mahesabu ukilinganisha na confusion ilokuwa ikiletwa na tarakimu za kirumi.

Kwa wale wana hisabu twajua mchango wa mwanahisabu al Khawairizmi ktk kuichungulia milinganyo kwa kutumia herufi badala ya tarakimu na kuvumbua kitu kwa sasa tukijuacho kama algebra na mostly important 'algorithm'

Pia twaweza kuchimba na kubaini kuwa Carpenicus alivyoweza kujifunza maarifat ya astronauts wa kiarabu akina al Battani na al Shatir ktk kucompile sheria kwamba ktk mfumo wa jua, sayari huzunguka jua na si vinginevyo ..etc etc..

Kama unahitaji kuwa msomi ni vyema ukaacha prejudices na ukiritimba wa kimawazo kwamba ilmu zinatoka kwa kikundi cha watu fulani pekee.

Free yourself kutoka kwa utumwa wa mawazo.
 

You are right. thanks

which one do you thinks suits our Madrasa in Tanzania?
 
Kwa sababu mtoa mada alikuwa anajaribu kusema/ku-sugest mambo yetu yaleee,
Imekuwa vyema kwa wachangiaji waliofuata, waberoya na abdulramim (sorry kama nimekosea jina lako)
Mmerudisha hali ya hewa kuwa sawia.
 
Nadhani mchangiaji mmoja hapo kwa jina la Abdulhalim, kakujibu vema.

Are our Madrasa in Tanzania learning mathematics, astronomy, sciences etc? or you wish they should be doing as Abdulhalim depicted?
 
Are our Madrasa in Tanzania learning mathematics, astronomy, sciences etc? or you wish they should be doing as Abdulhalim depicted?

Hivi madrasa ni madarasa? Na madarasa maana yake shule? Kama ndio,
elimu inayotolewa madrasa ndo inayotolewa darasani?
 


weka vizuri hii hoja pasi na hasira!
 

Agh! kumbe ndiyo ulivyo..pole sana nimekuweka kwenye hopeless people, wanaojidai wana busara!
 
huyu jamaa sijui anamatatizo gani,

ushauri wa bure kaungane na wenzao Somali, Afganistan nadhani lengo lako utalifikia mapema
 
huyu jamaa sijui anamatatizo gani,

ushauri wa bure kaungane na wenzao Somali, Afganistan nadhani lengo lako utalifikia mapema

Wewe una matatizo gani?

Mimi Mtanzania somalia nikafanye nini? wasomalia wenyewe wanasolve problems zao as they deem fit!

Malengo yangu yameshatimia kwakuwa mimi ni Muislamu sina malengo mengine
 
Kuna watu hapa JF kila mara wanaleta dharau kuhusu madrasa za kiislamu napenda kuwajibu yafuatayo:-
1. Madrasa ilianza karne nyingi zilizopita na ndio mwanzo wa elimu yote duniani

Just for the records, ukichukua angalau kina Pythagoras walienda Egypt 500 B.C, miaka takriban 500 kabla ya kuzaliwa Yesu, walishakaa katika madarasa na kujifunza mpaka kutoa Puthagoras theorem.

Uislam umeanza rasmi 600 A.D, miaka 1100 baada ya kina Pythagoras.

Unapata wapi ushujaa wa kusema madrasa ya kisslamu ndiyo mwanzo wa elimu?
 



Tatizo lako wewe mdini na ndiyo maana hata ukileta hoja nzuri watu wanadharau na wanakuchukulia vilevile kidinidini.
 
Are our Madrasa in Tanzania learning mathematics, astronomy, sciences etc? or you wish they should be doing as Abdulhalim depicted?
of course yes... What do you think...!? Myself I learned all that from madrasa...!
 


kiranga,
weye ni wa mlengo upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…