Ni kheri salamu yangu ya uheheni ya kamwene kuliko shikamoo. Ukitaka kujua kuwa salaam ya shikamoo ni ya kitumwa utagundua kuwa yenyewe huwa inaelekea upande mmoja mdogo kwenda mkubwa, ni salam ya kipuuzi haioneshi upendo, hata mkubwa anapaswa kumsalimu mtoto. Ni kheri salaam ya kamwene haina mwanzaji kuliko shikamoo! I really hate shikamoo. Hata watoto wangu siwafundishi wanisalimie shikamoo, ama waseme kamwene au amani iwe juu yako. Mimi pia nafanya hivyo kwao
Salaam ya shikamoo asili yake ni utumwa. Mwalimu Nyerere alipaswa kuchagua moja katika salaam za makabila kuwa salamu yetu. Heri salaam yetu ingebaki kuwa "salaam" na mtu akakujibu "salaam" au "Amani" na mtu akakujibu "amani"