Historia ya safari ya Limbu kisiasa

Historia ya safari ya Limbu kisiasa

The Fixer

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
1,365
Reaction score
599
Wakuu,
Naomba kujuzwa historia ya Mh Limbu katika safari yake ya kisiasa. Kwani kama anaweza kuufanyia hivi mti mbichi kabisa ACT vip kwa ule mkavu CCM ?

Karibuni sanaa wadau.
 

Attachments

  • 1421847395151.jpg
    1421847395151.jpg
    69.9 KB · Views: 217
Back
Top Bottom