Historia ya Qur'an

NYIE mnaosema muhammad alikuwa anaabudu nini before mulishawahi swali hilo hilo kwa yesu,musa na wengineo?
Ndio.

Huko hakuna changamoto kwa kuwa wakristo wanakubali kwmb kabla ya Yesu hakukuwa na Ukristo.

Shida inakuja kwenu mnaolazimisha kuwe na Uislam kabla ya Mohamed.
 
Ndio.

Huko hakuna changamoto kwa kuwa wakristo wanakubali kwmb kabla ya Yesu hakukuwa na Ukristo.

Shida inakuja kwenu mnaolazimisha kuwe na Uislam kabla ya Mohamed.
uislamu upo coz ni nature toka kwa adam what wrong with you
 
Kwanini unaandika uongo, wakati sisi Watanzania wengi tunafaidika nayo.
 
Hivi mkisema 'imeshushwa' huwa mnamaanisha nini!? Kushushwa kutoka wapi na ilishushwa ikiwa katika form gani..makaratasi, ngozi, mawe au nini?
Imeshushwa toka mbinguni, ikiwa katika hali ya maneno yenye kutamkwa.
 
Naona mtunzi alipoona Musa alishushiwa zile amri kumi nae akasema imeshushwa ila kihistoria zilikua nyingi kabla ya utawala mmoja uarabuni kuzikusanya na kuchambua kuiweka kuwa moja na kuzipiga marufuku kuran nyingine kutumika.
Unao ushahidi wa hili ?

Huyo mtunzi unayemkusudia hapo ni nani ?

Kingine hizo amri kumi mnazosema unao ushahidi ya kuwa zimetoka kwa Mungu ?

Kingine ukiongelea vitabu vilivyoshushwa ni Taurati, Zaburi, Injili na Qur'an hivi vyote vimeshushwa toka kwa Allah aliye juu.
 
Imeshushwa au katunga na kusema imeshushwa na msipofata ni kifo na moto 😂msituchoshe bana ...hata mahubiri ya mwamposa yameshushwa

Hakuna kiumbe anye weza kuitunga Qur'an, unaandika haya sababu huijui Qur'an.

Maneno yaliyomo humo hayatoki kwa kiumbe. Muwe mnafanya utafiti kabla ya kuandika sababu mnaonekana ni weupe mno, kwa kuandika juu ya kitu msichokijua.
 
Uislamu Ulikuwepo ila quran kashushiwa muhammad
We unavyoona inamake sense

Kama uislamu ulikuwepo hakukua na haja ya muhammad kushushiwa quran na kupewa maelekezo ya kusali
Hata hao mitume walikuja kabla ya Muhammad nao walikuwa ni Waislamu, lakini vitabu wakapewa na muongozo kadhalika.

Ulitakiwa ujue kwanza kwanini mitume na manabii huletwa, huletwa kwa sababu na hitajio sio kiholela holela, tu ndio maana Muhammad akaletwa na akapewa Muongozo.

Kwahiyo sababu ilikuwepo.
 
Story za kufikirika tu hizi hakuna ukweli wowote hapo.
 
Mule mule nilipopitia,

Ulimuona wakati ana vishusha?au ni masimulizi tu ya mtu mmoja ukaamini
 

Subiri uletewe na wazungu pesa dollar milioni kumi uendeleze ushoga , labda ndio unavyotaka

Funding for LGBTI communities in Africa is growing - but there's more to do particularly for women - The Baring Foundation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…