Aiseee chalii yangu Diamond na WC wanaendeleaje?Naomba kupata elimu juu ya haya majengo marefu zaidi kabla ya karne ya 19.
1.nani walijenga watumwa au wafanyakazi wa kawaida?
2.ndani ya majengo haya kuna nini?
3.lengo la kujenga lilikuwa nini?
4.kwa sasa yanatumika au.yapo km majumba ya makumbusho?
5.mawe makubwa km Yale waliyapandishaje?
NB:maana sahihi ya uhuru wa kuzungumza ni kusikiliza na Yale tusiyoyapenda na si tunayoyapenda tu.
Tunavyoruhusu ya wengine kuandikwa na ruhusu na yako pia yaandikwe na yajadiliwe kwa Uhuru.
Egyptology inaelezea nadharia mbalimbali za ujenzi wa mapiramidi.
Moja ya nadharia ni kuhusu aliens waliofika misri na kuyajenga ukichukulia namna yalivyojengeka kiufundi na kimaajabu. Hakuna binadamu wa aina yoyote kwa nyakati zile angeweza kujenga zile pyramid.
Nadhari ya pili inasema kuwa piramidi zilijengwa na watumwa wa kale waliokuwa na maguvu mengi na miili mikubwa ndio maana waliweza kupandisha yale majabali mazito bila cranes wala bulldozers.
Nadharia ya tatu inasema kuwa piramidi hazikujengwa na yeyote. Zipo tu siku zote kama vitu vya asili.
Siyo mbaya akili ndiyo alipofikiaMajizi chadema walijenga
Hakuna yoyote yenye nguvu maana ni mambo ya hisia tu!Sasa kati ya nadharia hizi tatu,ipi ina nguvu zaidi ya nyingine ?
Naomba kupata elimu juu ya haya majengo marefu zaidi kabla ya karne ya 19.
1.nani walijenga watumwa au wafanyakazi wa kawaida?
2.ndani ya majengo haya kuna nini?
3.lengo la kujenga lilikuwa nini?
4.kwa sasa yanatumika au.yapo km majumba ya makumbusho?
5.mawe makubwa km Yale waliyapandishaje?
NB:maana sahihi ya uhuru wa kuzungumza ni kusikiliza na Yale tusiyoyapenda na si tunayoyapenda tu.
Tunavyoruhusu ya wengine kuandikwa na ruhusu na yako pia yaandikwe na yajadiliwe kwa Uhuru.
Hahhahahaaaaa...Majizi chadema walijenga
Uteute wa mamaco wa uceni ukayagundisha yasidondokeMajizi chadema walijenga
Swali zuri ila ccm wata haribu threadEgyptology inaelezea nadharia mbalimbali za ujenzi wa mapiramidi.
Moja ya nadharia ni kuhusu aliens waliofika misri na kuyajenga ukichukulia namna yalivyojengeka kiufundi na kimaajabu. Hakuna binadamu wa aina yoyote kwa nyakati zile angeweza kujenga zile pyramid.
Nadhari ya pili inasema kuwa piramidi zilijengwa na watumwa wa kale waliokuwa na maguvu mengi na miili mikubwa ndio maana waliweza kupandisha yale majabali mazito bila cranes wala bulldozers.
Nadharia ya tatu inasema kuwa piramidi hazikujengwa na yeyote. Zipo tu siku zote kama vitu vya asili.
HahhaaahahaaaUteute wa mamaco wa uceni ukayagundisha yasidondoke