Historia ya Lucifer

Dah!...in maana tusioe?...au ulimaanisha tuchelewe kuoa?

Kama ingekuwa uwezo wangu wanaume wote wangeishi maisha ya mapadri kuna sababu kwanini hawaruhusiwi kuoa. Useja upo miaka mingi sana. Lengo la kuoa ni kuvunwa shahawa zako taka usitake na jinsi unavyo kamuliwa ndio unavyozidi kupunguza uhai wako. Ujiulizi kwanini vijana wengi umri mdogo kuanzia 30 hawana nywele kichwani ni vipara wananyoa low cut? Jibu ni kwqmba nguvu za mwanaume ni nywele mwanaume mwenye nazo na shahawa anazo kwa wingi asiyekuwa na nywele nyingi hata shahawa nyingi hana. Ndio mana wachache hawaoi kulinda nguvu zao.
 
Sasa msipotoa hizo shahawa mtazaaje?...hii duni mtaijazaje?....huoni hicho ni kitu ambacho kina changanya?
 
Source: TRUST ME BRO
 
Nikujichosha kusoma mambo haya ni kweli sometime biblia hua ngumu kuielewa ila haya maandishi yako yamezidi

Biblia ndio kitabu kitakacho kuukumu
 
Sasa msipotoa hizo shahawa mtazaaje?...hii duni mtaijazaje?....huoni hicho ni kitu ambacho kina changanya?

Swali zuri sana mkuu na hapa ndipo utata ulipo. Mwanamke akiwa mdogo bikra ukilala nae uchi bila kufanya chochote unamnyonya uhai wake. Huu uchawi umefundishwa kwenye biblia mfano pale mfalme daudi alipokuwa mzee sana na baridi ikawa inamtafuna wasaidizi wake wakasema ngoja tumtafutia msichana bikra wa kumpa joto ndipo wakamtqfuta msichana aitwae abishagi. Wafalme 1: 1-4 kwaiyo somo lako lipo hapo ndio mana vijijini unakuta mzee anakesi ya kuoa kisichana cha miaka 13 huyonmsichana haolewi kwaajili ya ngono ni siri ingine ambayo nimekupa zawadi ujue kwa uchache na ujue kwanini wafalme wanaishi maisha marefu.

Lakini mwanamke akishakomaa na kuwa mtu mzima ukilala nae yeye ndio anakunyonya uhai wako. Ki mila tunaofatilia huwa hatulali na wanawake. Mfano babu yangu alikuwa na kanyumba kadogo na bibi yangu aliikuwa analala nyumba kubwa. Na mimi ndio hivo hivo silali na mwanamke labda nikihitaji kufanya hivo na ni mara chqche sana mimi kulala na mwanamke hadi asubuhi kwani ataniua na kunyonya uhai wangu na kunipunguzia muda wangu wa kuishi kwa sababu ya mambo ya ngono za kijinga. Kuzaa zaeni lakini kwa akili.
 
Kwamba huyo binti mdogo unalala naye bila kufanya ngono au unafanya naye ili kumnyonya nguvu?
Pili unapolala na mkeo unamaanisha ukofanya naye au ukilala tu yeye anakunyonya nguvu?
 
Hata haya tu yanatosha kwa mtu mwenye kujitambua kuelewa nini kinaendelea ilichukua muda sana kufahamu. Ukijua haya kwa undani hutaishi na watu.
sawa kwa akili zako yanatosha lkn mwingine ndo km nusu ya robo yako...wako humu wengi tu wenye akili mingi. Ni kosa kuona akili yao iko sawa na mwingine
 
Hapana mkuu hakuna mwenye mamlaka ya kunihukumu hayupo.
una miaka mingapi kwani weye mkuu??.....gujiwe kawa hukumu humu weeee!!!......hukutia neno leo kaondoka ohhoo hkn wa kunihukumu....
Muulize max mziki wa hukumu anajua vizuri.
 
mbona hao wengi tu hasa dsm
 
Kwamba huyo binti mdogo unalala naye bila kufanya ngono au unafanya naye ili kumnyonya nguvu?
Pili unapolala na mkeo unamaanisha ukofanya naye au ukilala tu yeye anakunyonya nguvu?

Ndiyo huyo mtoto ukilala nae huruhusiwi kufanya nae kitu na mke wako anakunyonya nguvu mkuu shauri yako
 
una miaka mingapi kwani weye mkuu??.....gujiwe kawa hukumu humu weeee!!!......hukutia neno leo kaondoka ohhoo hkn wa kunihukumu....
Muulize max mziki wa hukumu anajua vizuri.

Nihukumiwe kwa kipi landa ambacho nimekosea
 
Nihukumiwe kwa kipi landa ambacho nimekosea
Mfano unahukumiwa "kwa kutokujua" ....sababu kutokujua si kinga kisheria. Nenda mahamani paleeee au tuseme polisi buguruni counter kojoa pale....au hata tumia vyoo vyao tu!!tena biko peupe ivi....uone mziki wake..unahukumiwa na kutimiza kifungo hapo hapo....
Lkn huko mbali pita Lugalo barabarani paleee getini salimia kila mtu pale kwa kumpa mkono.ikibidi wasaidie kubeba zile siraha zao.na kuandika andika namba za magari yanayoingia....si ni jambo zuri kusaidia walio choka ndg...haya nenda kafanye ivo mie nakusubiri hapa...wakikuuliza weee!! wambie tu nimekutuma mie...capt..chacha.
 

Mkuu watu wengi ukiwamo wewe mnaendeshwa na hofu kwamba usipo muabudu mungu utapata adhabu kali sana ya moto. Hata mimi nilikiwa na imani hiyo hiyo ila baadae nukaja kupata maarifa ya kwamba hupaswi wala hutakiwi kumuabudu mungu kwa kisingizio kuwa usipo mwabudu mungu utachomwa moto kwani juiulize utamuabudu vipi mungu wakati yupo ndani yako? Mungu anastahili kupewa shukrani Basi sio kuomba omba hata wewe ukiwa unaombwa ombwa kila saa utachukia ila ukishukuriwa utafurahi na utazidisha kutoa hata kama Hujaombwa.
 
Kwa hiyo kulala na mwanamke ni vibaya, ndo maana mmeanza kulala na wanaume sio (na kufanya ngono za jinsi moja)
 
Wewe jamaa ndo Mboyoyo wa jambo na vijambo?
Maana kipindi nasoma huu Uzi na ulivyoandika picha ya mboyoyo ya jambo na vijambo ikanijia kichwani
 
Wanataka kuiteka dunia...Kisha wauwe watu wote...halafu wawafanye wanadamu mateka...dah!nimeishia hapohapo aisee, inaonekana hata we mwenyewe hujui unaandika nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…