Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,043
- 1,326
asante mkuu kwa kusemaukweliAaaaah ! Mkuu hebu muogope Mungu , mimi ni mhaya na nyumbani kwa Babu yangu ni bukoba vijijini , jina la kijiji nimelihifadhi , kwenye hicho kijiji hakuna barabara , huduma ya maji watu wanachota kwenye chemchemi , umeme , huduma ya afya na shule ni majanga na watu ni walevi wa pombe za kienyeji na ni masikini wa kutupwa , nyumba ni za hovyo , nyingi ni mabanda ya nyasi na tope chache sana ndo unakuta mtu kajenga mjengo wa maana , it is simply a ghost town to put it into perspective , hebu niambie ni kijiji gani hicho ulichotembelea ukakuta hakuna nyumba ya nyasi..........Tatizo la wahaya ni dharau na nyodo unakuta mtu anakaa kwenye banda la mbuzi halafu anashupaza shingo , kiufupi I'm not proud of my ethnicity as a Haya
akijibu mm nakunya hadharaniMleta uzi hili hawezi kuja lijibu,akijib nitag
Watu wamekata tamaa, maana kila wakijitahidi kujitutumua wapate maendeleo serikali yao wenyewe inawarudisha chini.Mtoa uzi pamoja na members wote
1. Umaskin haupimwi kwa kula ugali au nyumba za nyasi.Nadhani kama tukipima umaskin kwa vigezo hivyo tutakuwa tumekosea mno.Nadhani vipo vigezo vya kupima kiwango cha umaskin kuanzia mtu mmoja mmoja na Taifa
2.Jana 27/04/2018 nilikuwa naangalia TBC1 taarifa ya habari wakulima wa Kahawa Kagera kwenye wilaya moja hivi nimesahau kuna wananchi walikuwa wanauza kahawa kwa magendo na DC akamkamata mwenyekiti wa kitongoji kuhusiana na kujihusisha kwake na magendo hayoya kuuza kahawa kiholela tena kahawa mbichi.
3.Suala la maendeleo haliangalii kabila la mtu ni jitihada za mtu mwenyewe na jamii husika inavyohanikiza maendeleo.Hata mimi kwetu kuna maendeleo lakin siwez kuja hapa JF na kuanza kujisifia jamii yetu bora kuliko zingine.
Wandugu ifike wakati zile habari za matambo yasiyo na msingi tukaacha maana hazina msaada sana kwa sasa ni bora tupeane fursa za kujikwamua na umaskini kuliko kujisifia sijui mimi Muhaya bright ,sijui mimi Msambaa tajiri haitusaidii
Umenikumbusha Wahaya wa pale Mwananyamala A!Kiukwel kwa watu waliowai kujaliwa kufika Bukoba .
Hapa nazungumzia maeneo ya vijijin kama bukoba vijijin yaani watu wa kule wanaishi maisha mazuri sana ukilinganisha na mikoa mingine ...yaani uwez kukuta muhaya anakula ugali na maharage au ananyumba ya nyasi...au analima huku mvua inanyesha.
Lakin ukienda mikoa mingine kwa maeneo ya vijijin kama Singida, Tabora ,Dodoma ,Morogoro , Nk
Isee ni hatar sana watu wanamaisha magumu sana.
wanaumwa funza badoNimefanya Kazi Na Mwijage Muleba Kaskazini,rweikiza Bukoba Vijijini Na Kote Huko Nimezunguka Vijiji Vyote Kiufupi Mleta Uzi Huijui Kagera
TrueWahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya
Nipo nao hapa manzese darajani yaani wengi wao wananiambia wanajuta kuzaliwa bukoba kwa sababu kuna hali ngumu ya maisha ndio maana wengiiii wanaona bora waje mjini kupiga biashara ya ngono.
Biashara ambayo wanapanga nyumba nzima wanaigawa katika vyumba huku wakiuzaaa papuchii elfu 2 baoo mojaa pamoja na chumba na pia hata baadhi wanaume wanatoa kwa bei cheeee.
Kama kuna mtu anabisha ajee manzese darajani au aende mwananyamala hospitali au buguruni sokoni au temeke hospitaliii .
Nielekeze vizur mkuu nitembelee hicho kiwanda. Hivo vitu tumeumbiwaHiyoo sehemu ipo karibia na hospitali ukishukaaa mwananyamala hospitali na basi utaonaaa kuna nyumba kuna wakina dada wamekaaa kwenye visturi basi wee ukifika ingia ndaniiiiiii.
Ukiingia ndani utampa elfu mbili kinachoendeleaaa utakuwa unajuaa ila ukiwa mgeni mgeni utapigwaa hadi elfu tanooo
Fumbafuu wewe[emoji12] mchumba[emoji13]Karibu Mwika usafishe macho.
hee[emoji31]Fumbafuu wewe[emoji12] mchumba[emoji13]
Una kasirika nini?hee[emoji31]
Njoo kule bhanashe....e.
hiiiiii
Nacheka Kihutu.[emoji23][emoji23]Njoo kule bhana
Nitmwambia J MNacheka Kihutu.[emoji23][emoji23]
Are you sure for what you are talking?.Bukoba ipi unaiongelea?.Kiukwel kwa watu waliowai kujaliwa kufika Bukoba .
Hapa nazungumzia maeneo ya vijijin kama bukoba vijijin yaani watu wa kule wanaishi maisha mazuri sana ukilinganisha na mikoa mingine ...yaani uwez kukuta muhaya anakula ugali na maharage au ananyumba ya nyasi...au analima huku mvua inanyesha.
Lakin ukienda mikoa mingine kwa maeneo ya vijijin kama Singida, Tabora ,Dodoma ,Morogoro , Nk
Isee ni hatar sana watu wanamaisha magumu sana.
Wewe fara kweli hao sio wahaya sisi tunajitambua weweWahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya