Hata hawasemi wanatokea Bukoba, utasikia naenda zangu BKHalafu kitu kingine wahaya ninachowashangaa wanapenda sana kusema wanatokea bukoba badala ya kusema wanatokea kagera sijui kwanini hawapendi kulitaja hili neno kagera wao wanang'ang'ania sisi kwetu bukoba.
Kitu kibaya zaidi ukiwambia wakupeleke kwao bukoba unashangaa wengi wanashukia muleba wanaingia vijijini uko mpka unafika bukoba mjini mnajikuta waliobakia wengi ni wamanyema watu tokea congo ndio wenye bukoba yao ila cha kushangaza wahaya walivyo wa ajabu hawezi kukuambia anatokea muleba yeye atakwambia kwao ni bukoba na wanasema hivyo kwa sababu muleba hakuna maendeleooooooo
Elfu mbili???Hiyoo sehemu ipo karibia na hospitali ukishukaaa mwananyamala hospitali na basi utaonaaa kuna nyumba kuna wakina dada wamekaaa kwenye visturi basi wee ukifika ingia ndaniiiiiii.
Ukiingia ndani utampa elfu mbili kinachoendeleaaa utakuwa unajuaa ila ukiwa mgeni mgeni utapigwaa hadi elfu tanooo
Dar Es Salaam.Na labda ngoja niulize, tuutoe mkoa wa Kilimanjaro ambao bado naona unatajwa hapa na sijui kwanini umetajwa wakati ishu ilikuwa ni Kagera. Tunaombwa mtwambie Mikoa gani mingine ya maana ambayo mnafikiri mnataka kuipambanisha na mkoa wa Kagera? itajeni hiyo mikoa yenu hapa.
Watu wa kanda ya ziwa wote hao pamoja na wasukuma, wanalazimisha kufanya maendeleo ya sifa ili wawafikie watu wa kaskazini.Hata Chato Magufuli Ana Gorofa Porini Anafugia Ng'ombe
Funza???wanaumwa funza bado
Hivi kuna sehem mjini bado kuna nyumba za nyasi maana moshi ni mjini mkuuHata moshi nako ni kama bk
Nyumba za nyasi sikumbuki mara ya mwisho nimeziona lini
mbwembwe nying maskin wakutupwa hawamsamehe bure hajielewi huyu, anataka ligi asiyokuwa na uwezo nayo
wameendelea KVP wakati mkoa wao n wa tatu kwa umaskin?Ni kweli mtoa mada hawa watu wamestaarabika sana na wameendelea pia japo madhaifu ya kimaendeleo , kibinadam nk hayakosi
kumbe n magovi? sasa MBNA wanajidai wana elimuWanaume wa huko wanatahiriwa siku hizi?
anamaanisha mkoa wa Kilimanjaro hakuna nyumba za nyasi kule hadi mifugo inalala za blockHivi kuna sehem mjini bado kuna nyumba za nyasi maana moshi ni mjini mkuu
n kweli mkuu mm nimeishi kanda ya kusini vyakula bwerere sasa hawa wapenda sifa mkoa wao n wa tatu kwa umaskin alafu wanajidai wana maisha mazuriMkuu upo uhayani umekaa kwa muda gan mpaka ukisifie hivyo
Wahaya wanaongoza kwa pass ndefu hali ngumu wanakula jion mpk kesho yake jion
Tembea vijiji vya hata pale muleba km IHANGILO,KAGOMA RUBYA,NK YAAN NDIZI ZINGIZINGUA WAMEKQISHAAA
MKUU HAKUNA MKOA WANAPATA TABU KWENYE CHAKULA KAMA KAGERA
BEI ZA VYA KULA KWENYE MIGAHAWA NI KAMA ZA DAR ALAFU HUKO NI MKOA..
HV JAMAA YANGU UMETEMBEA KWELI WEWE
UHAYANI WAMEZUNGUKWA ZA ZIWA KAMA USUKUMAN ILA TEMBEA VIJIJI VYA SENGEREMA KAMA BUPANDWA,NYEHUNGE,KAUNDA,RWENZERA NK ULIZIA BEI YA UGALI SATO FANANISHA NA UHAYANI..WAHAYA WAVIVU AISEEE
TEMBEA UONI VIJIJI VYENYE RAHAA NA MSTAREHE HII TANZANIA MIKOA YA NYANDA YA JUU KUSINI WATU WA VYA VIJIJINI HAWANA SHIDA KABISAAAAA VYAKULA VIPO
KAMA HUJATEMBEA JARIBU KUTEMBEA
hawa Jamaa n maskin wa kutupwa mkuu wamebk mbwembwe tuMkuu upo uhayani umekaa kwa muda gan mpaka ukisifie hivyo
Wahaya wanaongoza kwa pass ndefu hali ngumu wanakula jion mpk kesho yake jion
Tembea vijiji vya hata pale muleba km IHANGILO,KAGOMA RUBYA,NK YAAN NDIZI ZINGIZINGUA WAMEKQISHAAA
MKUU HAKUNA MKOA WANAPATA TABU KWENYE CHAKULA KAMA KAGERA
BEI ZA VYA KULA KWENYE MIGAHAWA NI KAMA ZA DAR ALAFU HUKO NI MKOA..
HV JAMAA YANGU UMETEMBEA KWELI WEWE
UHAYANI WAMEZUNGUKWA ZA ZIWA KAMA USUKUMAN ILA TEMBEA VIJIJI VYA SENGEREMA KAMA BUPANDWA,NYEHUNGE,KAUNDA,RWENZERA NK ULIZIA BEI YA UGALI SATO FANANISHA NA UHAYANI..WAHAYA WAVIVU AISEEE
TEMBEA UONI VIJIJI VYENYE RAHAA NA MSTAREHE HII TANZANIA MIKOA YA NYANDA YA JUU KUSINI WATU WA VYA VIJIJINI HAWANA SHIDA KABISAAAAA VYAKULA VIPO
KAMA HUJATEMBEA JARIBU KUTEMBEA
Kagera ni jina la mto na Bukoba ni jina la sehamu / ardhi husika tangu Enzi za mababu zetu. Ardhi yetu kuitwa Kagera ni mambo ya ugovi wa Nyerere na Iddi Amini pamoja na kuigana vita miaka ya 1978 & 1979.
mkuu bukoba naifahamu yoteKaribu Kiziba anzia Gera, Mugana hadi Kanyigo na Ishozi na Luzinga pia. Mji siyo interest ya wahaya bali vijijini kwao.
utafiti hupingwa kwa utafitiHao wametumia vigezo gani ilihali huku Moro ukaguruni mwaka 2015-16 njaa imewaacha watu hoi
Hao wametumia vigezo gani ilihali huku Moro ukaguruni mwaka 2015-16 njaa imewaacha watu hoi
unachekeshaWaambie bhana,,, muhaya kula Ugari ujue life imetight
...wa Ujeremani na Uswizi..waende mkoa wa Kilimanjaro waone jinsi watu wa kule wanavyoushi kama wazungu
Acha upumbavu we kwenu mna nini?Mimi nipo huku kwao hawana lolote maisha magumu tuu wanajenga nyumba za tope kama watu wa pwani au wanaita mbavu za mbwa.
Nenda Muleba utaona nenda maeneo kama ngenge, kanywangonge au kule milimani wanaita ngote na Kanyerenyere ndo utajua kuwa wanamaisha mazuri au magumu.
Mhaya hali ugali kwa sababu kazoea ndizi (ekitoke). Ugali na wali wameanza kula hivi juzi baada ya mnyauko kukausha ndizi. Ni moja kati ya kabila vivu kupindukia.
Wanaume hawaendi shamba zaidi ya ulevi na wanawake wanaenda shambani saa moja au mbili lakini saa tatu yupo anasugua gaga nje ya nyumba
Kama hujui kaa kimya