Historia ya JWTZ

jimjamtz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
153
Reaction score
28
Napenda kujua majina ya maofisa (Commisioned officers) 10(kumi) wa mwanzo walioanzisha JWTZ kama wanafahamika na vyeo vyao na mahali walipo either wapo hai au wamefariki.
Natanguliza shukrani .
 
Walishondwa kukujibu
 
Napenda kujua majina ya maofisa (Commisioned officers) 10(kumi) wa mwanzo walioanzisha JWTZ kama wanafahamika na vyeo vyao na mahali walipo either wapo hai au wamefariki.
Natanguliza shukrani .
Ukishajua itakusaidia nini?
 
Tembelea tovuti yao mkuu. Jikinge wakinge wengine corona inaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…