Kusoma nje ya nchi hasa ukiwa ni mgeni kama yeye HUWEZI KUSAJILIWA BILA kuwa na akaunti iliyonona. Kusema kwamba alipewa chumba pia bila deposit au guarantee ya mpangishaji ukiharibu kitu au kushindwa kulipa kwa mwezi mmoja kabla hawajakutoa wasipate hasara ni uongo pia.
SEMA FUNGU LA UBALOZI alilipata mapema tuu.
Kwani angesema alipata upendeleo kuna shida gani?
Wa- Tanzania wangapi wameajiliwa na kupelekwa masomoni moja kwa moja day 1?
Kafika hapo alipo kwa kubebwa so asijifanye anajua sana.