Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Historia ya general anesthesia inaweza kuanzia kutoka kumbukumbu za historia ya mababu wa kale wa Samaria, Babylon, Siria, Egypt, Ugiriki, Roma, India, na China. Katika kipindi cha miaka ya kati (Middle Ages), ambacho kwa maana nyingine kinatafsiriwa kuwa ni kipindi cha Dhahabu kaitka historia ya Uislam, wanasayansi na wataalamu walifanya magunduzi mengi makubwa katika tiba na sayansi kwenye dunia ya Uislam na Mashariki mwa dunia, wakati huo huo bara la Ulaya lilikuwa na mafanikio yao.
Kipindi cha (Renaissance) kilikuja na mabadiliko makubwa ya uchumi, siasa, na jamii kwa ujumla. Mabadiliko hayo hayakuacha nyuma maendeleo anatomi na mbinu za upasuaji. Lakini pamoja na mabadiliko hayo, upasuaji ilikuwa ni hatua ya mwisho katika tiba. Sababu kubwa ilikuwa ni maumivu yaliyotokana shughuli nzima ya upasuaji. Wagonjwa wengi waliokuwa na mahitaji ya upasuaji katika tiba yao, waliamua kuchagua njia nyingine ya kifo kuliko upasuaji. Kulikuwa na ubishani mkubwa kuhusu nani anastahili kupewa sifa kwa kugundua nusu kaputi (general anesthesia), ilikubalika baadae kuwa kuna mwanasayansi mmoja aliyeigundua mwishoni mwa karine ya 18 au mwanzoni mwa karne ya 19, kutoka pale maendeleo yalipelekea kupata mbinu za anaesthesic tulizonazo leo.
Kipindi hiki kilikuja na mabadiliko muhimu yaliliyobadilisha maisha ya jamii kwa ujumla katika karne ya 19, mabadiliko haya yalipelekea ugunduzi wa upasuaji wa leo. Kugundulika kwa nadharia ya wadudu (germ) na magonjwa kuwa germs ndiyo chanzo cha kuenea kwa magonjwa mengi. Pia kujulikana kwa dawa ziliweza kuwekwa kwenye kidonda au ngozi ambazo ziliua wadudu na kuzuia maambukizi (infection) dawa hizo (antiseptic) zilichangia sana kupunguza magonjwa na idadi ya vifo vilivyotokana na upasuaji, maendelop haya yalikuwa hatua kubwa sana katika pharmacology na physiology na yaliendelea kuwa matunda ya kugundulika wa anaesthesia na dawa za kupunguza maumivu.
Karne ya 20, usalama wa general anaesthesia uliimarika kwa kugundua njia ya tracheal intubation na njia nyingine za kufungua njia ya hewa. Njia nzuri za kuangalia kwa ukaribu anaethetic gaents pamoja na kuimarika kwa phamacokinetic na pharmacodynamic ambazo zote kwa pamoja zilichaniga. Mafunzo kwa anaesthesiologists na anaesthetists nurses ilikuja kipindi hiki. Kuongezeka kwa mfumo na taratibu za management practices pia kulileta ubunifu katika anesthetists.
Jaribio la kwanza la general anesthesia inawezekana lilifanyika kwa miti na majani ya asili (herbal remedies) zilizotumika katika historia. Pombe inasadikika kuwa dawa ya kwanza iliyotumika kupoteza fahamu na ilitumiwa na watu wa Mesopotamia miaka elfu moja iliyopita.
Opium poppy, Papaver somniferum
Wasamaritan inasemekana walilima na kuvuna opium poppy katika Mesopotamia ya chini mwanzoni mwa 3400 Before Christian Era (BCE), ingawaje hii ilikuja kupingwa. Historia ya kwanza kuhusiana na ushahidi wa opium uligundulika kwenye maandishi ya cuneiform ambayo yalikuwa kijiwe kidogo cheupe mwisho wa millnnium ya tatu BCE. Kijiwe hicho kiligundulikwa wakati wa kuchimba kwa uchunguzi kulikofanyika Nippur, Samaritan ambako ni Iraq ya sasa, kijiwe hicho kimehifadhiwa katika University of Pennysylvania Museum of Archeology and Anthropology. Inaelezewa na Samuel Noah Kramer na Martin Leave kuwa ni historia ya kwanza kabisa ya pharmacopoeia iliyopo mpaka sasa hivi. Mawe mbengine yaliyoandikwa wakati wa Sumaritan kinaelezea mmea huo kama mmea wa furaha.
Wasamaritan walikuwa na mungu wa kike aliyeitwa Nidaba, maranyingi alionekana kwenye picha zake za kuchora na maua ya poppy kwenye mabega. Takriban mwaka 2225 BCE, ufalme wa Sumaritan ulikwa sehemu ya ufalme wa Babylon. Matumizi na umuhimu wa opium uliongezeka mpaka Persia na kufikia Egypt, ambako yaliendelea kufikia ustaarabu tulionao leo. Mtaalamu wa miamba na cuneifomy wa Kiingereza aitwae Reginald Campbell Thompson aliandika kuwa opium ilijulikana kwa Wasiria karne ya 7 BCE. Jina "Arat Pa Pa" linatokea kwenye orodha ya majana (Herbal) zilizochorwa kwenye jiwe la mwaka 650 BCE. Kutokana na maelezo ya Thompson, neno hilo ni la Kisiria likimaanisha maji ya poppy na ikimaanisha jina la ki historia liliopelekea neno la Kilatini papaver likimaanisha ukoo wa poppy.
Waegypt wa kale walikuwa na vifaa vya upasuaji na pia walikuwa na dawa za kupunguza maumivu na pia za kupoteza fahamu, inawezekana dawa hizo zilitengenezwa kutoka kwenye matunda ya madrake. Upasuaji wa mpangilio wa opium uko kwenye kumbukumbu za maandishi ya Ebers Papyrus pia maandishi ya kitabibu ya Egypt ya karne ya 18. Mpaka sasa hivi hakuna anaefahamu kama wa Egypt walitumia opium katika kipindi hicho. Wagiriki walikuwa na mungu wao aliyeitwa Hypmos (Lala), ambae alikuwa mtoto wa Nyx (Usiku), na mtoto mwingine aitwae Thanatos (kifo) wote walichorwa wakiwa wameshikila maua ya poppy.
Kabla ya kuanzishwa kwa matumizi ya opium katika historia ya India na China, tawala hizi zilikuwa na ustaarabu wao na zilipigania sana kibali cha bangi na mmea wa aconitum. c 400 BCE. Kitabu cha kitabibu cha sushruta Samhita kilichotokea India ambacho kinaeleza mizizi ya tiba za Kihindi katika dawa na upasuaji wa ayurvedic, kinaeleza matumizi ya mvinyo (wine) pamoja na mvuke wa bangi kama anaesthesia. Kufikia karne ya 8 wafanyabiashara wa Kiarabu walipeleka opium India mpaka China.
Bian Que (Chinese; c 300BCE) alikuwa mwanzilishi wa dawa za kichina za kukinga na kutibu magonjwa ya watu wazima pia alikuwa bingwa wa upasuaji na inasemekana alitumia general anesthesia katika shughuli zake hizo za upasuaji. Hii imerekodiwa katika kitabu cha Master Han Fei (c.250 BCE), kitabu cha Historia Mashughuli (c100 BCE), na Kitabu cha Master Lie (c CE 300) ambavy vinaonyesha Bian Que alimpa mwanaume anaeitwa "Lu" na mwingine "Chao", kinywaji chenye sumu na ilipelekea watu hao kupoteza fahamu kwa siku tatu, katika kipindi hiki aliweza kumfanyia upasuaji katika utumbo kwa wote wawili.
Hua Tuo (c CE 145-220) alikuwa daktari wa upasuaji wa Kichina wa karne ya pili Christian Era (EC) kutokana na Kumbukumbu za Falme Tatu (c CE270) na Kitabu cha Barua za Han (c CE 430), Hua Tuo alifanya upasuaji kwa general aneshtesia akitumia formula aliyoitengeneza mwenyewe ya kuchanganya mvinyo (wine) na maji ya majani yaliyoitwa mafeisan. Hua Tuo anaripotiwa kutumia mafeisan kwa operation kama za resction (kuondoa tumour au kukata utumbo ulioharibika). Kabla ya upasuaji atatoa dawa ya kunywa ambayo inawezekana imewekewa mvinyo ili mgonjwa apoteze fahamu pia kuziba nerves za fahamu.
Kumbukumbu halisi ya matumizi ya mafeisan, sawa na uvumbuzi wa kitaalam wa Hua Tua ulipotea pale alipochoma vitabu vyake, kabla tu ya kufariki kwake. Mchanganyiko wa anesthetic haukutajwa tena hata kwenye kumbukumbu za Kumbukumbu ya Falme Tatu. Kutokana na mafundisho ya Confucian (Imani) ambayo yalifundisha kuwa mwili ni kitu kitakatifu na upasuaji unaharibu mwili, huduma za upasuaji katika historia ya China zilipingwa sana. Kwasababu hii hata mafanikio makubwa ya upasuaji aliyofanya Hua Tuo kwa general anesthesia, huduma za upasuaji katika China ziliishia na kifo chake.
Middle age.
Madaktari wa Kiarabu na Persia inawezekana walikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kutumia inhaled anesthetics kwa njia ya mdomo, mwandishi wa mashairi Ferdowsi (940-1020) ambae alikuwa mwenye asili ya Persia na aliishi kipindi cha Khalifa Abbasi ambae alikuwa Khalifa watatu katika historia ya dini ya Kiislam. Katika kitabu chake cha Shahnameh, shairi lake la taifa, Ferdowsi alielezea jinsi upasuaji wa ceasarean section ulivyofanywa kwa Rudaba ambae alikuwa mtoto wa mfalme wa Kabul. Mvinyo (wine) ilitaarishwa na mwongozaji wa dini wa asili (Zoroastrian) na ilitumika kama anaesthetic kwa upasuaji ule. Pamoja na kuwa hadith za Shahnameh in za kutunga, lakini kipande hiki cha hadith kinadhihirisha kuwa genera anesthesia ilikuwepo katika historia ya Persia, hata kama haikuendelezwa au kutumika kama ipasavyo.
Mwaka 1000, Abu al Quasim al Zahrawi (936-1013), alikuwa daktari physician wa Kiarabu aliyeishi Al- Andalus ambayo ndiyo Spain ya sasa aliandika kitabu cha volume 30 kilichojulikana kama Kitab al Tasrif, katika kitabu hicho aliezeza na kuchora kazi za upasuaji. Katika kitabu hicho aliandika kuhusu utumiaji wa general anesthesia kwa upasuaji c. 1020. Ibn Sina (980-1037) ambae anaaminika kama "great thinker" wa Islamic Golden Era alielezea anesthesia katika The Canon of Medicine ambayo ni encyclopedia ya madawa/utabibu.
Canon ilielezea jinsi sponge iliyochomvywa kwenye dawa zenye uwezo wa kupoteza fahamu, ilivyoweza kuwekwa kwenye pua ya mgonjwa wakati wa upasuaji. Ibn Zuhr (1091-1611) ambae alikuwa physician wa Kiarabu kutoka Andalus ambae alipewa jina la Kilatin Avenzor, alielezea katika kitabu cha Al Taisir, matumizi ya general anesthesia. Physician hawa watatu walikuwa miongoni mwa waliofanya upasuaji kwa kutumia inhaled anesthesia na dawa za kulevya zilizowekwa kwenye pamba. Opium ilisafirishwa kwenda Asia mpaka sehemu nyingine za Ulaya kuanzia karne ya 10 mpaka 13.