Walizunguka Ulaya nzima kuwatafuta na kuwakusanya kila sehemu na kuaanza kuwaua kwa kila njia yeyeto inayowezekana kuua binadamu, kuanzia kuwachuna ngozi na kutengeneza mapambo, kuwachoma moto mpaka majivu, kuwapulizia gesi ya sumu au moshi wa gari, kuwachoma sindano za sumu kwa majaribio ya sumu gani inaua binadamu haraka, na njia nyingi lukuki usioweza kuamini .......