Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Hiyo theory umeitunga mwenyewe??
Theories zinatungwa na binadamu kulingana na mawazo yao, nae kaleta yake iangalie na toa mawazo yako aidha kukubaliana nae au kumpinga kwa sababu.Hiyo theory umeitunga mwenyewe??
Sio wazungu tu wenye haki ya kufanya tafiti na kutoa majibu hata sisi ngozi nyeusi kutoka Africa tuna haki.Nadharia inayokosa mashiko, ukawahadithie watoto wako huko huko..
Yani uelewi tafiti ya wanasayansi, alafu hapo hapo unatumia nadharia yao (dinosaurs) kwenye uchwara wako..
Tafuta mambo mengine ufanye.
Sent using Unknown device
Mzee utaenda kupimwa mkojo.
Sio wazungu tu wenye haki ya kufanya tafiti na kutoa majibu hata sisi ngozi nyeusi kutoka Africa tuna haki.
Theories ndo mwanzo wa kila kitu katika tafiti. Na hamna linaloanza bila theory na baada ya hapo theory itafanyiwa utafiti ili ionekane mambo yapo hivyo kama nadharia/theory au lah..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nimekushikia fimbo usome kwani hao wanascience mbona wanabwajaja tu, peleka inferiority complex hukoNadharia inayokosa mashiko, ukawahadithie watoto wako huko huko..
Yani uelewi tafiti ya wanasayansi, alafu hapo hapo unatumia nadharia yao (dinosaurs) kwenye uchwara wako..
Tafuta mambo mengine ufanye.
Sent using Unknown device
Waafrika tunafeli sana kitu hicho hicho ataongea muafrika atapondwa ila akiongea mzungu atasifiwa ata kama ni ngumu kuelewa, tuna inferiority complex mbaya sana na inatufanya kukosa uthubutu kwenye mambo mengi sanaSio wazungu tu wenye haki ya kufanya tafiti na kutoa majibu hata sisi ngozi nyeusi kutoka Africa tuna haki.
Theories ndo mwanzo wa kila kitu katika tafiti. Na hamna linaloanza bila theory na baada ya hapo theory itafanyiwa utafiti ili ionekane mambo yapo hivyo kama nadharia/theory au lah..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hupo sawa kabisa!Waafrika tunafeli sana kitu hicho hicho ataongea muafrika atapondwa ila akiongea mzungu atasifiwa ata kama ni ngumu kuelewa, tuna inferiority complex mbaya sana na inatufanya kukosa uthubutu kwenye mambo mengi sana
Kwani nimekushikia fimbo usome kwani hao wanascience mbona wanabwajaja tu, peleka inferiority complex huko
Sijakulazimisha wala kukushikia fimbo Kwa hy usijaribu kutumia defense mechanism za kitoto, mim nimetoa mtizamo wangu usijaribu kunipangia kitu cha kupost eti Kwa sababu wewe ukubaliani nacho, hata hao wanascience wapingana wenyewe Kwa wenyeweUlitegemea ukubaliwe tu ee, defend nadharia yako, unataka kuwa researcher huku uutaki critics kisa Mwafrika ndio uonewe huruma! Hell no. Kwanza mbongo ukimpa nafasi ya kujitetea maneno meengi sana anaweza hata kukufunga... Scholar wa wapi wewe!
Sent using Unknown device
Kimetaja baadhi sio wote, point ya muhimu ni kwamba Mungu aliumba wanyama wote had wale ambao hawajatajwa lakin wapo duniani hii ni Kwa wale wanaomuamin Mungu (Yahweh).ππ Theory yako inachekesha. Ila bora hata wewe umechekecha ubongo.
Hata hivo naomba kuuliza kwenye Biblia kitabu cha Mwanzo kuna orodha yooteee ya wanyama wote waliowahi kuumbwa au?
Kwa hy nawewe na wewe mmepoteza mda ku-coment kwenye ujinga, huon kama wewe ni mjinga squareUmekula ubwabwa wa wazazi umeshiba sasa unaandika ujinga ujinga