Historia ya Bendera ya Zanzibar

Jaman hii bendera ya wenzetu visiwani ina rangi kadhaa ambazo kwazo binafsi sijafahamu zinawakili ni so naomba kujuzwa zinawakilisha nini?
 
Ama kweli hii nchi inaenda orjojo,bendere hiyo ilianzishwa lini maana ninavyoelewa kwa mujibu wa katiba yetu zanzibar siyo nchi,bali ni sehemu ya nchi ya Tanzania
 
Ama kweli hii nchi inaenda orjojo,bendere hiyo ilianzishwa lini maana ninavyoelewa kwa mujibu wa katiba yetu zanzibar siyo nchi,bali ni sehemu ya nchi ya Tanzania
Una umri gani kijana? Nafikiri unaweza kujua ya ufisadi kwani hayo ndiyo unayoweza kuijuwa!
 
Sio miaka mingi imezinduliwa na juu mkono wa kushoto ina bendera ndogo ya TANZANIA
 
Jaman hii bendera ya wenzetu visiwani ina rangi kadhaa ambazo kwazo binafsi sijafahamu zinawakili ni so naomba kujuzwa zinawakilisha nini?

THE ZANZIBAR FLAG ACT NO.12 OF 2004
Section 3. There shall be a Zanzibar Flag which shall be of the description specified in the
Schedule to this Act.

SCHEDULE
{ Made Under Section 3 }

A rectangular flag divided into three equal portions horizontally; the bottom portion is green
(signifying the land of Zanzibar), the middle portion is black (signifying the colour of the original
people of Zanzibar
) and the top portion is light blue (signifying the sea and sky surrounding
Zanzibar
); with an insertion of the Tanzania National Flag at the top of the left hand corner; of
the following design.

Kama ipo naomba nione picha yake, msaada wadau.
 
Jifunze hapa!

Hakika nimejifunza kitu muhimu sana!
 
asante kwa ufafanuzi kuna mambo zaid ya kujifunza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…