strong gal
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 271
- 215
Yaani hisia za downstairs zikishaamka akili huwa numb tayari.
Hapo kichwa cha chini kikianza kufanya kazi, cha juu kinaasimama
Maruhani yakipanda hayo huwa yanapotea ila hurudi baada ya tendo kuisha mshaitana maneno matamu yoteee
Tafiti zinaonyesha wanawake walio wengi(si wote) huanza kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa pindi wafikapo miaka 35 na wakiwa tayar na watoto wawili (sababu zimetajwa pia).So i hope mtoa mada upo chini ya umri wa miaka 35....so subir ufike umri huo na majibu ya maswal yako utayapata kama nawe utaangukia kwenye kundi la wanawake walio wengi.....Time will tell....
tafiti zinaonyesha wanawake walio wengi(si wote) huanza kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa pindi wafikapo miaka 35 na wakiwa tayar na watoto wawili (sababu zimetajwa pia).so i hope mtoa mada upo chini ya umri wa miaka 35....so subir ufike umri huo na majibu ya maswal yako utayapata kama nawe utaangukia kwenye kundi la wanawake walio wengi.....time will tell....
Kwa mtu anayecheat lazima awe ana sababu. Mchepukaji lazima atofautishe kati ya sex na love. Anampenda mkewe lakini anasex na mchepuko. Ndo maana utakuta wanaume wengi tunaenda kwa machangu na baada ya kuondoa UH tunarudi kwa wapenzi wetu na maisha yanaenda. Hakuna mwanaume anayemcheat mwanamke bila kukosa k au hamu ya kukosa k. Kuna vitu vingi akinamama mnafanya ila vinatuumiza kisaikolojia na kukosa hamu ya wake zetu. Mfano mnapenda kukaa uchi na kuvaa mavazi nusu uchi kwa muda mrefu au kama kumchungulia mkeo akijifungua, hivi vinapunguza hamu ya k ya mkeo ingawa unampenda. Ref: âKushuhudia mke akijifungua kumeathiri wengiâ - Habari - mwananchi.co.tz
Mwanaume akishaoa akili yote, na moyo wake unakuwa kwa mke wake nje kule ni tamaa za mwili tu ambazo akishakojoa habari yake kwisha kama unafikiri upendo unakuwa umehama jiulize ni kwa nini waliowengi huwa hawaaachi wake zao ili waendelee na michepukoHa ha ha ha..afu hapo kabinti kakitoka.kanajipa moyo ana nipenda kuliko mke wake.mxuuuu..kumbe ni pale pale tu kwa 6*6
mwanaume akishaoa akili yote, na moyo wake unakuwa kwa mke wake nje kule ni tamaa za mwili tu ambazo akishakojoa habari yake kwisha kama unafikiri upendo unakuwa umehama jiulize ni kwa nini waliowengi huwa hawaaachi wake zao ili waendelee na michepuko
Mwanaume akishaoa akili yote, na moyo wake unakuwa kwa mke wake nje kule ni tamaa za mwili tu ambazo akishakojoa habari yake kwisha kama unafikiri upendo unakuwa umehama jiulize ni kwa nini waliowengi huwa hawaaachi wake zao ili waendelee na michepuko
umeongea point hadi raha aiseee
Mwanaume ni tofauti na mwanamke, mwanamke akichepuka ujue upendo umehama maana kwa mwanamke kufanya mapenzi kunaambata na hisia za moyo, mwanamke hawezi kufanya mapenz kama hajampenda mtu tofauti na mwanaume akishaona maungo ya ndani hata kama alikuwa hampendi huyo mwanamke atakula tu kupoza njaaAsante.kumbe akichepuka ntajikaza tu.maana nilikua nadhani ndo upendo umehama....japo kwenye uchumba huku niki kufuma navunja uhusiano
Mwanaume ni tofauti na mwanamke, mwanamke akichepuka ujue upendo umehama maana kwa mwanamke kufanya mapenzi kunaambata na hisia za moyo, mwanamke hawezi kufanya mapenz kama hajampenda mtu tofauti na mwanaume akishaona maungu ya ndani haya kama alikuwa hampendi huyo mwanamke atakula tu kupoza njaa
Kipi hicho tushirikishe ulichojifunzanimejifunza kitu