msichana ambaye ukimshika matiti haoneshi hisia zozote na hata ukimuuliza anasema hana hisia yeyote ukimshika sehemu hiyo anaweza akawa na tatizo au ni hali ya kawaida?
Mmh hisia zake zinaweza kuwa mahali pengine.Labda kwenye masikio,nywele au shingoni.Wengine kiunoni inategemea.Sio kila mwanamke anahisia katika maziwa au chuchu
msichana ambaye ukimshika matiti haoneshi hisia zozote na hata ukimuuliza anasema hana hisia yeyote ukimshika sehemu hiyo anaweza akawa na tatizo au ni hali ya kawaida?
msichana ambaye ukimshika
matiti haoneshi hisia zozote na hata ukimuuliza anasema hana hisia
yeyote ukimshika sehemu hiyo anaweza akawa na tatizo au ni hali ya
kawaida?