Hisense a/c mpya inauzwa

ivi mkuu sorry iyo btu 18000 inakava chumba cha futi ngapi kwa ngapi maaana naona bei kama ipo chini mno na mashine kubwa.
 
Mdau hiyo inacover eneo la 90 square metres yaani kwa kifupi inaweza chkua ata room mbili kwa nyumba zenye size ya kawaida, mashine kubwa tumeweka bei ya kizalendo na wanunuzi wanalenga sana...
 
Nadhani ni around sq36
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…