Hii tv ina miezi michache sana na ili kuamini unapewa na box lake na mazaga zaga yote.
Kwanini inauzwa mapema sana? Kuna mgonjwa yupo hospitali inahitajika hela ya haraka. Bei ya dukani ni 500k
Haina kasoro kama unahitaji nipigie 0625547181
Nimetoa ushauri tu sihitaji Lampard alinifungia Hisense LED 43 inches na wall bracket kwa 550,000 TV zimeshuka so nilikua nasaidia tu kama kweli una shida.
Nimetoa ushauri tu sihitaji Lampard alinifungia Hisense LED 43 inches na wall bracket kwa 550,000 TV zimeshuka so nilikua nasaidia tu kama kweli una shida.