mang'ang'a
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 828
- 379
Kuna chumba chenye milango 4 (Kaskazini, kusini, Mashariki na Magharibi) kila unapoingia ndani ya chumba hicho ni lazima ulipe sh. 5 na unapotoka pia ni lazima ulipe sh. 5...
Lakini kila unapoingia ndani ya chumba hela uliyonayo inaongezeka mara mbili (x2).
Sasa inabidi niingie kupitia mlango wa kaskazini nitokee wa kusini, kisha niingie tena kupitia mlango wa Mashariki na nitokee mlango wa Magharibi.
Je, niwena shilingi ngapi ili nnapotoka katika mlango wa Magharibi niwe na sh 0 (sinai kitu)!?..
Assume unaingia na shilling x, ukifika ndani hela uliyoingia nayo itadouble na kuwa 2x.
Lakini itabidi ulipe shilling 5 kwa kuingia, kwa hiyo itabaki 2x-5
kila unapoingia ndani ya chumba hicho ni lazima ulipe sh. 5
Kuna chumba chenye milango 4 (Kaskazini, kusini, Mashariki na Magharibi) kila unapoingia ndani ya chumba hicho ni lazima ulipe sh. 5 na unapotoka pia ni lazima ulipe sh. 5...
Lakini kila unapoingia ndani ya chumba hela uliyonayo inaongezeka mara mbili (x2).
Sasa inabidi niingie kupitia mlango wa kaskazini nitokee wa kusini, kisha niingie tena kupitia mlango wa Mashariki na nitokee mlango wa Magharibi.
Je, niwena shilingi ngapi ili nnapotoka katika mlango wa Magharibi niwe na sh 0 (sinai kitu)!?..
Kuna chumba chenye milango 4 (Kaskazini, kusini, Mashariki na Magharibi) kila unapoingia ndani ya chumba hicho ni lazima ulipe sh. 5 na unapotoka pia ni lazima ulipe sh. 5...
Lakini kila unapoingia ndani ya chumba hela uliyonayo inaongezeka mara mbili (x2).
Sasa inabidi niingie kupitia mlango wa kaskazini nitokee wa kusini, kisha niingie tena kupitia mlango wa Mashariki na nitokee mlango wa Magharibi.
Je, niwena shilingi ngapi ili nnapotoka katika mlango wa Magharibi niwe na sh 0 (sinai kitu)!?..
Kuna chumba chenye milango 4 (Kaskazini, kusini, Mashariki na Magharibi) kila unapoingia ndani ya chumba hicho ni lazima ulipe sh. 5 na unapotoka pia ni lazima ulipe sh. 5...
Lakini kila unapoingia ndani ya chumba hela uliyonayo inaongezeka mara mbili (x2).
Sasa inabidi niingie kupitia mlango wa kaskazini nitokee wa kusini, kisha niingie tena kupitia mlango wa Mashariki na nitokee mlango wa Magharibi.
Je, niwena shilingi ngapi ili nnapotoka katika mlango wa Magharibi niwe na sh 0 (sinai kitu)!?..
Lazima ulipe unapoingia ref.
Nadhan maelezo hayo yako wazi... Instruction kitu change muhimu sana katika suala zima la mahisabati!..
...Je, niwena shilingi ngapi ili nnapotoka katika mlango wa Magharibi niwe na sh 0 (sinai kitu)!?..
bado natetea calculations zangu maana kidogo uniconvince:::
'KILA UNAPOTAKA KUINGIA NDIO UNALIPA'
'KILA UNAPOTAKA KUTOKA NDIO UNALIPA'
Maana yake utalipa kabla ya kuingia, lakini ukisema kila unapoingia ndani ya chumba, inaleta contradiction!!