Hiphop verses challenge

Eyoo naghani,ni mtazamo wa fani,ile dhana ni uhuni wameleta hawa katuni.
 
Mc Illmatic, naona unabana pua/
Mistari haina mantik, ongeomba kwanza dua/
Mistari yako erotic, au mapenzi yanakusumbua/
Au badili topic, kwenye michano ntakuzingua/
Hili ni bom la atomic, usinitibue ntakulipua/
"Kubana pua" hapa umezingua/
Najua unajua "illmatic" chuma cha pua/
Zako habari twazijua/

Hii ni view ya mwewe/
Na nnayemuona ni wewe/
Unachat sana na kina " To yeye"
Wana wanahisi labda ni "To wewe".
 
"Kubana pua" hapa umezingua/
Najua unajua "illmatic" chuma cha pua/
Zako habari twazijua/

Hii ni view ya mwewe/
Na nnayemuona ni wewe/
Unachat sana na kina " To yeye"
Wana wanahisi labda ni "To wewe".
Dah 🖐🖐🤣🤣 ntarudi
 
Kafa Manzese mazishi Sinza
Nazama chumvini Uvinza
Na utamu umezidi mpaka umepiliza
Bado nachanga naganga mwanga nifiche giza
Nichane anga kwa pipa so balozi nipe viza
 
Nani atokwe na mjonzi?/
Unakumbuka alichowafanya juzi azizi?/
 
Nione mimi nilivyo mimi, kama tungekuwa kambini mi ni mwanajeshi.
 
Machozi yananitoka nalia kwa simanzi
Kila napokaa nawakumbuka wazazi...
Wa mwisho kuafariki alikua mama baada ya baba
Kimbilio letu tulipohitaji msaada
Kifo kama ibada hatuwezi kulaumu
Mungu akishapanga hutekeleza majukumu
Baada ya kuisha matanga
Urithi kuaanza kupangwa
Kijana mkubwa ukabidi nusimamie nyumba na kiwanja
Nyumba sio nyumba yaani ni kama banda
Caharambe kwa ndani haiukua barabarani
Kupita mwaka mmoja
Vikaanza vihoja
Mara nyumba iuzwe hiyo ndo ikawa hoja
Tumezaliwa Tisa maisha ya kujikongoja....
 
umeua..
 
Najali sana paper...
Demu hata akisepa ni kama nimepoteza chuma chakavu ama skrepa

Stamina iz moro town baibeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…