Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,974
- 134,089
Moderator naomba bato na Scars /Mkuu Scars Uzi wako huu....
Ni bora ukafanye Ngonjera/Moderator naomba bato na Scars /
Nataka kumpa dozi/
Cyper za kinyamwezi/
Peke yake haniwezi/
Kibitozi au kidwanzi/
Aje nimpe cozi,newz,hizi/
au niseme basi jukwaa zima hamniwezi/
yupi anayebisha nimpe dozi kama mwizi/
akili za kitopolo,mi za Simba level hizi/
hapa Sakho hapa Chama utatoka na majonzi/
Ni bora ukafanye Ngonjera/
Huku naona unambwera/
Mistari yako ni kale sijui umeitoa wapi msela.
Hapa umekwama/ umekutana na tunaojua kuchana, Mi ndio MC illmatic Van De Beek zamani waliniita/
Kwa ushabiki wa Simba JF nafahamika.
Unajisumbua hujui mod wamelala?, hali tete wanadaiwa kodi ya pagala.../
Oya Illmatic, ebu kuwa systematic.../Ni bora ukafanye Ngonjera/
Huku naona unambwera/
Mistari yako ni kale sijui umeitoa wapi msela.
Hapa umekwama/ umekutana na tunaojua kuchana, Mi ndio MC illmatic Van De Beek zamani waliniita/
Kwa ushabiki wa Simba JF nafahamika.
NI HAYO TU, FID Q, PROF JAY & LANGAHabari wakuu;
Hii thread kwa wale wapenda Hip Hop,unachotakiwa kufanya unashusha verse yako kalii na unayoikubali kutoka ktk nyimbo yoyte iwe ya bongo au mbele alaf mwingine aje aseme hiyo verse ni ya msanii gani na nyimbo inaitwaje,ila verse isizidi mistari minne.
Naanza na verse yangu nnayoikubali;
Kolombwea,maisha ya kuungaunga hii shughuli mi naiweza
Hapa utaambulia ushauri ukihitaji msaada wa kifedhaView attachment 2164107
Una mistari ya kitoto, unataka shindana nami.Moderator naomba bato na Scars /
Nataka kumpa dozi/
Cyper za kinyamwezi/
Peke yake haniwezi/
Kibitozi au kidwanzi/
Aje nimpe cozi,newz,hizi/
au niseme basi jukwaa zima hamniwezi/
yupi anayebisha nimpe dozi kama mwizi/
akili za kitopolo,mi za Simba level hizi/
hapa Sakho hapa Chama utatoka na majonzi/
We kilaza nitakukaza, shika adabu mtoto wa maza/Una mistari ya kitoto, unataka shindana nami.
Na akili zako local,unadhani utamshinda nani.
Kama unataka battle,kaombe kibali mahakani.
Mi sio saizi yako,ntakupoteza na usiamini.
Mc Illmatic, naona unabana pua/Ni bora ukafanye Ngonjera/
Huku naona unambwera/
Mistari yako ni kale sijui umeitoa wapi msela.
Hapa umekwama/ umekutana na tunaojua kuchana, Mi ndio MC illmatic Van De Beek zamani waliniita/
Kwa ushabiki wa Simba JF nafahamika.
What kind of name is that " Scars"/Oya Illmatic, ebu kuwa systematic.../
Kutumia jina moja umeona sio mantiki, una badili majina kama surgery za plastic.../
Asante Profesa Jay, Majani na UlamaaRap inakuwa ni mikingamo
Sasa watoto wadogo
Wanajiita watu wa makamo
Wanakwenda hatua mbili, wanarudi kumi na kujipongeza
Bila kuzingatia hatua nane walizopotеza
Hao ni mafukara wa akili zao’ na uwezo wao
Wasio tambua nini na nini ni hatma zao
Ma-gwiji vichwa chini, nadhani wanatunga sheria
Lakini sheria msumеno’ isije ikawarudia
Yes! Ma- underground wanafanya Rap inang’ara
Lazima muwe vinara’ kwenye msafara
Mistari ganda la ndizi, nakuona unavyo teleza.../What kind of name is that " Scars"/
No wonder you cant spit punches on your bars/
Ni kama ulijipa ulivyokuwa bar/.....
Jia jiaMistari ganda la ndizi, nakuona unavyo teleza.../
Nimekupa kipigo cha mwizi, mpaka una flow kingereza.../
Prof Jay-mtazamoRap inakuwa ni mikingamo