Ni hayo tuu fid ft. Prof J x LangaHabari wakuu;
Hii thread kwa wale wapenda Hip Hop,unachotakiwa kufanya unashusha verse yako kalii na unayoikubali kutoka ktk nyimbo yoyte iwe ya bongo au mbele alaf mwingine aje aseme hiyo verse ni ya msanii gani na nyimbo inaitwaje,ila verse isizidi mistari minne.
Naanza na verse yangu nnayoikubali;
Kolombwea,maisha ya kuungaunga hii shughuli mi naiweza
Hapa utaambulia ushauri ukihitaji msaada wa kifedhaView attachment 2164107
The Game_ DreamsThey say, Sleep is the Cousin of Death so my eyes Wide Open.....
Yakwanza fid hustleNarudi ndani kama futi ya fundi ukuta/
Wote Pepo tunaitamani cha ajabu hakuna anaetaka kufa/
✅✅ mzeeThe Game_ Dreams
Proj Jizzzzeeee akiwa na mzee Cow Obama!!Unanibamba sana kwa jinsi ulivyo stable,
Unathamani zaidi ya mpira mweusi wa pooltable
Hawatuwezi Nako 2 NakoMtu mzima mwanamume..Majukum lazima.
Pesa ndo kitu sina na nitazisaka Daima
Dj Vickers _work nowTake some BIG and some Pac,
And you mix them up in a pot,
Sprinkle a lil "BIG L" on top,
What the f*u*c*k do you got?
You got the realest and illest killers
Tied up in a knot.......
😂❌....Dj Vickers _work now
Haiwezi kuelezwa kwa sayansi, mathe labda historiHabari wakuu;