Hip-hop freestyle battle : special thread

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,571
13,399
Oy! Oy! Oyiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Huu ni uwanja special kwa wana wanaofeel hip-hop, kama we nimkali WA freestyle Kama ni mc Una ngoma zako ziangushe hapa wana wazisikie.

Wana wa michano kuchanana no matusi Karibu tuchane tusukume gurudumu la hip-hop.

Yeah!! Mike Cheki

Kamwe sitoshinda bubu, Nina gadhabu za kutosha..... ///
Mchumba usilete gubu, mi ndo babu ninapambana na Maisha... ///
Macho kwenye ruzuku, ukizubaa unafichwa.. ///

OK! Waharibie
 
Uzi wa namna hii upo. Ila kwa vile mi mdau ngoja nishushe hata vilyrics viwili vitatu.

Ok, beyond rap nation
Mi ndiyo rais/

Paparz take caption
Nagani isiyo rahis/

Pole ulopewa peas
Nakuuasi utamu wa nanasi/

Kwa promo za peps
Na ufutu wa nafsi/

Vimefanya mnatughas
Mnatupenga ka kamasi/

Naburn bais
Kiukweli nipo true/

Marapa wengi still lairs
Muulize hata wahuu/
 
Oh man it's been a minute, not sure I can still kick / a few lines off the top, need some provocation to spit / who's the challenger..? you already know the drift / let's get it on, see if we can get this sh!t lit /
 
Oh man it's been a minute, not sure I can still kick / a few lines off the top, need some provocation to spit / who's the challenger..? you already know the drift / let's get it on, see if we can get this sh!t lit /
Ndiyo Twende
 
Uzi wa namna hii upo. Ila kwa vile mi mdau ngoja nishushe hata vilyrics viwili vitatu.

Ok, beyond rap nation
Mi ndiyo rais/

Paparz take caption
Nagani isiyo rahis/

Pole ulopewa peas
Nakuuasi utamu wa nanasi/

Kwa promo za peps
Na ufutu wa nafsi/

Vimefanya mnatughas
Mnatupenga ka kamasi/

Naburn bais
Kiukweli nipo true/

Marapa wengi still lairs
Muulize hata wahuu/
Gud
 
Jua ni Kali na hali Siyo Shwari... //
Msoto nautafakari, ni vipi nitaupata ugali.. //
Dingi ni sadali miaka kumi na mbili..
Anawindwa na hii serikali.... //


DAh najaribu
 
moja mbili tatu
nateleza kama chatu
akili yangu fyatu
kama soli ya kiatu...

dah kaaazi kweli kweli..
hivi kwani form five wanaanzaga kusoma mwezi gani?
 
Back
Top Bottom