Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 901
- 2,734
Urusi anataka kudhoofisha Ukraine sio maafa ya Rais.Ukraine wanastahili pongezi kwa mbinu.
JAPOKUWA: Warusi wangeamua kutangaza vita kamili bila kujali aina ya silaha nadhani sasa hivi tungekuwa tunaongelea aina nyingine ya vita na si vya Ukraine sababu huenda ingekuwa imechakaa.
(Ukiachilia mbali nuclear inasemekana wana heavy bombs).
Sijajua kwann hafanyi hivyo ila nachojua sababu ya kutokufanya kwake ni kwa maslahi ya Urusi na Dunia. Iwe ni anahofia respond ya mataifa mengine makubwa au ametumia ubinadamu kuavoid vifo vingi kwa pamoja au anazuia vita ya dunia, haijalishi, Warusi wanastahili kuheshimiwa kwa maamuzi ya kivita wanayochukua.
Sasa kama ni zero kwanini marekani na NATO wameungana mataifa 30 ili kumkabili Urusi?Urusi mnaikuza midomoni tu ila field ni zero kabisa. nchi iliyokuwa ikisemwa kupiga nchi zote za Nato isingelikuwa bado inahangaika na ukrein kwa kipindi chote hiki.
Sasa kama ni zero kwanini marekani na NATO wameungana mataifa 30 ili kumkabili Urusi?
Na huo ndio ukweli mchungu [emoji1258][emoji123][emoji123]wameungana kumsaidia ukraine sio kumkabili urusi. Nato ikimkabili urusi ndani ya week tu. rusia maji ataita mma
uko sahihi urusi ni zero kabisa,inapigwa hata na tanzania,cha ajabu NATO & USA wanaiogopa kama ukoma,iraq ilivyoshambulia kuwait,faster waliingia mzigoni,ila syria na ukraine sijui wanachelewa nini..Urusi mnaikuza midomoni tu ila field ni zero kabisa. nchi iliyokuwa ikisemwa kupiga nchi zote za Nato isingelikuwa bado inahangaika na ukrein kwa kipindi chote hiki.
mambo ya historia hayana msaada mkuu,south africa,msumbiji,angola,zimbabwe uhuru wao walipata kwa msaada mkubwa wa TZNa pia ukisoma history ni kwamba Ukraine ndio mama wa Russia.
Nikimaanisha kuwa taifa la Russia asili yake lilitokea kyvu mji mkuu wa Ukraine hapo ndipo Russian walipokua orgnated
Nipo dilemma, nimpuuze Putin kwa ahadi yake ya kumshughurikia yoyote atakae ingilia vita ya Ukraine ama nikubaliane na dai lako kwamba Nato inamkabili Urusi ndani ya Ukraine ?.Sasa kama ni zero kwanini marekani na NATO wameungana mataifa 30 ili kumkabili Urusi?
Kinyume Chake.Sasa kama ni zero kwanini marekani na NATO wameungana mataifa 30 ili kumkabili Urusi?
Swali dogo tu, hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini ngojera za wasanii hawa akina Zelensky na genge lake.Ukraine wameweza kutengeneza Himas fake nyingi ambazo, Russian kwa kutumia makombora yake mazito yanayorushwa toka kwenye meli na submarine yamekua yakijikuata yanalenga matoi yaliyotengenezwa kwa mbao. Kumbuka kombora moja linagharimu us dollar milion1.2 na utengenezaji wake huchukua mwezi, mpaka sasa hivi matoi 10 ya himas yamelipuliwa, hii imewagharimu Urusi.
Ndio maana mwanzon Russia walidai wamelipua himas 4, siyo uongo walipiga kweli ila yalikua matoi.
Ukraine kinachowafanya kuleta upinzani kwenye taifa la Urusi, taaifa ambalo hakuna ubishi kwenye medan za kivita wako juu sana ni mbinu za kivita.
Ukraine wana mbinu nying sana kias cha kuwashangaza hata mataifa ya magharibi.
Nachoona Russia asipoangalia yatamkuta yaliyompata US kule Vietnam, maana wavetnam walikua na mbinu nyingi sana.
Ukraine’s small fleet of HIMARS rocket launchers are protected by an unlikely group of bodyguards: decoys that resemble the real thing. The decoys, constructed from wood, have repeatedly attracted the attention of Russian missile strikes. That has allowed Ukraine’s real HIMARS vehicles to continue firing in preparation for the long-awaited counteroffensive, which began this week.
- Ukraine has built a number of fake HIMARS truck-launched rocket systems.
- Built from wood, the fakes have cost the Russian military millions in wasted missiles.
- The deception operation is working so well that Russia claims to have destroyed more HIMARS than the U.S. government has even sent to Ukraine.
Source: Yahoo world news
Upo vizuri,,,vitu vyenye asili ya chuma na mbao wap na wap !!!Swali dogo tu, hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini ngojera za wasanii hawa akina Zelensky na genge lake.
For a starter- Warusi wana wanasayansi na maiinjia mahili Duninani - kumbukeni sana hilo, anayesema missiles za Urusi haziwezi kutofautisha baina ya toy la plastic na mbao or composite material ambazo ni bad conductor wa umeme na mawimbi ya Radio - Warusi sio mabumbubu kama propaganda hizi za kitoto zinazo sambazwa na media za magharibi,habari hizi za kuchonga kuhusu the so called wooden HIMARS, repeat, media za magharibi including social media wamelivalia njuga kweli kweli, wanafikiri watu hawana hakiri ya kung'amua kinacho endelea nyuma ya pazia.
Now a million dollar question, is: kwa nini suala hili linahibuka ghafla baada ya Zelensky kuanzisha kile anacho kiita ni counter offensive ya jeshi lake yenye lengo la kulikomboa jimbo la Kherson, walipo shituka kwa kuona operation yao haiwaendei vizuri pamoja na HIMARS roketis kutunguliwa kwa wingi pamoja na HIMARS kuharibiwa na jeshi la Urusi, ndio maana akina Zelensky na genge lake wakaja na stori za kubuni tu kwamba Warusi wamezidiwa kete na jeshi la Ukraine baada ya kuwategeshea Warusi HIMARS zilizo tengenezwa kwa mbao hivyo kuwatia hasara kubwa Warusi wanao tumia missiles zinazo gharimu mamillion ya fedha kuharibu toys zinazo gharimu fedha ndogo sana kuzitengeneza - cha kujiuliza hapa ni kitu gani kinawafanya jeshi la Ukraine kuanika adhalani siri zinazo wawezesha kulitia hasara jeshi la Urusi - uwazi wao unawasadia nini katika mapambano yao dhidi ya Urusi - hii inaingia akili kweli??
Ukweli wa mambo ni kwamba jeshi la Ukraine lilifanya blunder kubwa ya kujitia kutaka kukomboa Kherson mpaka sasa jeshi la Ukraine limelemewa hawajafanikisha chochote cha maana katika operation nzima zaidi ya kupoteza wanajeshi wengi na zana zao za vita zikiwemo HIMARS ndio maana wanakuja na stori hii ya wooden HIMARS wakiwa na lengo la kutaka kuikatisha tamaa Urusi ili hisiendelee kusaka HIMARS zilizo baki na kuziangamiza a very clever ploy by Zelensky military top brass, wakifikiri Warusi hawana hawawezi kulitambua hilo kirahisi na kuendelea kuzisaka HIMARS kwa udi na uvumba.
Tuliza boli mkuu tusubir tuineSwali dogo tu, hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini ngojera za wasanii hawa akina Zelensky na genge lake.

Kinyume Chake.
NATO Ni muunganiko wa Mataifa dhaifu hasa ya Ulaya Mashariki ambayo yalitafuta mbabe wa Urusi (Marekani) ili ayalinde dhidi ya Uvamizi wa Urusi. Marekani peke Yake aliisambaratisha USSR iliyokuwa na Mataifa 15 ikiwemo Urusi,iweje Urusi peke Yake apambane na NATO?
Ukiondoa Marekani kufaidika Kiuchumi kwenye NATO (Mataifa ya NATO yanalazimika kununua Silaha Nyingi kutoka Marekani ili kujilinda dhidi ya Urusi),Marekani haiihitaji NATO Kijeshi ili Kuishinda Urusi Vitani.
hao ndo wazaz wa Urus ya leo... ndani ya muda mfupi tangu wapokee HIMARS, Ukraine tayari wana fake kadhaa za HIMARS ambazo zimewaingiza mavamizi hasara kubwa kazi ambayo wameifanya wakiwa katikati ya vita moja ngumu sana sio watu wa kawaida. Inaonekana hata military science and logistics yao sio ya mchezo mchezo.
No wonder Putin anataka Ukraine irudi Russia anajua ni kizazi fulani cha watu wenye akili nyingi sana ila bahati mbaya ndio hivyo hatofanikiwa.
unatengeneza silaha hlf hujui kuzitumia ? wkt anaepewa anajua kuzitumia , uwezo wako utaonekana kwa kutumia silaha sw na za adui na sio kutaka kutumia silaha advanced zaid ya mwenzioUkraine wanastahili pongezi kwa mbinu.
JAPOKUWA: Warusi wangeamua kutangaza vita kamili bila kujali aina ya silaha nadhani sasa hivi tungekuwa tunaongelea aina nyingine ya vita na si vya Ukraine sababu huenda ingekuwa imechakaa.
(Ukiachilia mbali nuclear inasemekana wana heavy bombs).
Sijajua kwann hafanyi hivyo ila nachojua sababu ya kutokufanya kwake ni kwa maslahi ya Urusi na Dunia. Iwe ni anahofia respond ya mataifa mengine makubwa au ametumia ubinadamu kuavoid vifo vingi kwa pamoja au anazuia vita ya dunia, haijalishi, Warusi wanastahili kuheshimiwa kwa maamuzi ya kivita wanayochukua.
sio eneo kdg la Urusi bali strategic part pf Russia yote ilikuwa chini ya Rus kiev yaan hiyo moscow , st Petersburg na majiji yote ya magharibi ya UrusiHiyo iliitwa Kievan Rus. Miaka ya 800 uko ndio ilikuwepo hiyo dynasty ikiunganisha eneo kubwa la Ukraine, eneo la Belarus na eneo kidogo la Russia ya sasa.
Baadae miaka ya 1500s akaja Ivan the Terrible akiwa Grand Prince wa Moscow na ndio akawa Tsar wa kwanza wa Russia.
Mbona husemi UKRAINE, USA, na EU "NATO" walisema wataifuta RUSSIA ndani ya UKRAINE kabla ya September lakini hadi leo hii hakuna lolote [emoji848][emoji1787]Nipo dilemma, nimpuuze Putin kwa ahadi yake ya kumshughurikia yoyote atakae ingilia vita ya Ukraine ama nikubaliane na dai lako kwamba Nato inamkabili Urusi ndani ya Ukraine ?.
Putin alisema yoyote atae ingilia atapigwa, so madai ya kusema Nato hipo Ukraine ni madai yako wewe si ya Putin.
Putin na intelejensia yake hadi sasa hawana taarifa za uwepo wa Nato ndani ya ukrein, wangelikuwa wanajua kuwa Nato hipo ndani ya ukrein Nato wangelikuwa wameshashambuliwa na Urusi.
So, huu uwongo wa Nato kuwa ndani ya ukrein wakati Urusi haijui uwe unawasimulia watoto wenzio tu.
USA inaihitaji NATO kuliko NATO inavyoihitaji USA kuipiga RUSSIA.Kinyume Chake.
NATO Ni muunganiko wa Mataifa dhaifu hasa ya Ulaya Mashariki ambayo yalitafuta mbabe wa Urusi (Marekani) ili ayalinde dhidi ya Uvamizi wa Urusi. Marekani peke Yake aliisambaratisha USSR iliyokuwa na Mataifa 15 ikiwemo Urusi,iweje Urusi peke Yake apambane na NATO?
Ukiondoa Marekani kufaidika Kiuchumi kwenye NATO (Mataifa ya NATO yanalazimika kununua Silaha Nyingi kutoka Marekani ili kujilinda dhidi ya Urusi),Marekani haiihitaji NATO Kijeshi ili Kuishinda Urusi Vitani.
wameungana kumsaidia ukraine sio kumkabili urusi. Nato ikimkabili urusi ndani ya week tu. rusia maji ataita mma
Naniii fanya hivi, Urusi ilisema:, itaichukulia hatua kali Nato endapo Nato haitangilia mzozo wa ukrein.Mbona husemi UKRAINE, USA, na EU "NATO" walisema wataifuta RUSSIA ndani ya UKRAINE kabla ya September lakini hadi leo hii hakuna lolote [emoji848][emoji1787]