ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
- Thread starter
- #21
Gari bado ipo. Njoo ukague tufanye biashara
Mkuu chukua tano1989 Toyota Hilux
2L engine (Engine works perfectly)
No mechanical problems
All duties paid for
Price: 6.5mil
Contact: 0767515333
Kagua gari kisha tuzungumze mkuu.. kama uko serious nitafute uone gari ntakupunguzia shaka ondoaMkuu chukua tano
Boss umepoteaMkuu chukua tano
Mkuu nshapataBoss umepotea
Hahaha.. hayaMkuu nshapata
Gari imetumika sana siwezi uza bei ya mpya. Besides, huwezi nunua gari bila kukagua. Lazima uje na fundi wako ujiridhishe. Kwa wanaozijua hizi gari huwa ngumu sana hazina shida.mkuu hiyo gari kimeo nini mbona hiyo bei inanipa wasiwasi sana
Hahahahaaaamkuu hiyo gari kimeo nini mbona hiyo bei inanipa wasiwasi sana