ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Hiyo Millage haijagonga 500,000km kweli
Hiyo bei !!
Mzee una kesi nini au ada za watoto zinasumbua
Kagua gari achana na kilometa. Hata ukitaka iwe 10,000km dakika sifuri tu
Duuuh! Mh! Mh! Mh! Am out!
Majibu yako sasa kama wakiume kumbe ni @ASHANGEDELENamaanisha usiangalie gari kwa kigezo cha kilomita. Wabongo wanachezea sana hizo siku hizi kwahio ni bor ukague gari hata kama ni mpya
Majibu yako sasa kama wakiume kumbe ni @ASHANGEDELE
Its a land rover not toyotaAisayee, mie nimependa hiyo Prado ya pembeni ya hlx !!! Approx: ngapi ?
Hahahah doh kweli aise.Wanunuzi wa hiyo Gari wote wako Moshi Kwa sasa
Kwanini mkuu, nipe namba yako basi nkutumienimshindwa kuona picha!!
nadhani ilikuwa application tu ila nimeona sasa poa mkuuKwanini mkuu, nipe namba yako basi nkutumie
Karibu bossnadhani ilikuwa application tu ila nimeona sasa poa mkuu
Ahsante sana.Karibu boss