Hilux Double cabin inauzwa

Hilux Double cabin inauzwa

Atukilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
642
Reaction score
203
Aina: Hilux Double Cabin
Model LN 107
CC:2779 Diesel
Colour: Silver
Bei Tshs 13M
Manufacturer 1992
Imported 2003
Odometer reading 321,000
Inatembea na ipo kwenye hali nzuri kwa kazi za off-road. Mwenyewe naitumia. Kwa wale wanaojua magari kila gari lina manufactured defects haya magari manufactured defects yake ni taa zake hazina nguvu sana(mie niliamua kuweka sportlights)na mfumo wake wa ac sio mzuri.
 
weka picha, imetembea km ngap, hali yake kiafya nk, ndo biashara itavutia
 
Ya mwaka gani? Na imetembea km ngapi? Na ni nzima kiasi gani? Iliwahi kupata ajali? Au inatatizo lolote la kiufundi, hebu toa maelezo zaidi. Natafuta sana gari ya aina hiyo? Na ikiwezekana tuwekee picha tuione.
 
Nitaweka photo mkuu naona inasumbua ku-attach au labda sielewi. Nimefanya edit kujibu maswali mengine
 
Ya mwaka gani? Na imetembea km ngapi? Na ni nzima kiasi gani? Iliwahi kupata ajali? Au inatatizo lolote la kiufundi, hebu toa maelezo zaidi. Natafuta sana gari ya aina hiyo? Na ikiwezekana tuwekee picha tuione.

Nimekujibu mkuu kwa ku-edit original post. Nitaweka picha zinasumbua ku-upload
 
Ngoja niende show room
Nenda ila kuna mtu aliniambia kuna jamaa kazi yake ni kurudisha odometer reading nyuma kwa malipo ya Tshs 50,000.00. Mimi nilikataa dhamira yangu haipo hivyo bora kuwa mkweli. LN 107 hazitengenezwi tena kama ipo barabarani miaka yote hiyo unatarajia nini? DD za kisasa sio nzuri kwa off-road operations. kama nilivyosema ni nzima inatembea.
 
nimeweka picha wakuu
 
Attachments

  • 14072012347.jpg
    14072012347.jpg
    437.9 KB · Views: 50
  • 14072012348.jpg
    14072012348.jpg
    395.4 KB · Views: 55
  • 14072012350.jpg
    14072012350.jpg
    524.3 KB · Views: 58
gari hizi ni imara sana, zinahimili mikiki mikiki.....na zina nguvu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom