DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
najua ni moja kati ya matangazo yenye mvuto sana....lile tangazo la NDOOOOROBOO...nimefatilia nikagundua hawakua makini katika utengenezaji wake....anapokuja jamaa anauliza body spray anaambiwa 15000=/...pangaboy 50000=/....mlapa 1000=/ ambapo baada ya hapo akiulizwa jumla mangi anasema 65500=/ ... wakati jumla kuu ilipaswa iwe 66000=/
Kafungue kesi mahakani
Najua ni moja kati ya matangazo yenye mvuto sana....lile tangazo la NDOOOOROBOO...nimefatilia nikagundua hawakua makini katika utengenezaji wake....anapokuja jamaa anauliza body spray anaambiwa 15000=/...pangaboy 50000=/....mlapa 1000=/ ambapo baada ya hapo akiulizwa jumla mangi anasema 65500=/ ... wakati jumla kuu ilipaswa iwe 66000=/
Mangi alipiga na discount ujue
Hata kama jamaa angepunguziwa hadi 10,000 asingeweza kununua maana alikuwa na buku tu
Kafungue kesi mahakani
daah,, yan asbuh yoote hii,, umeona hii ndio mada ya kuweka humu..!... sie waTz bado sana
Ila mangi kasema.... Ni KAMA 65500...... kibiashara keshampunguzia... Huyu mangi mzoefu dukan kwa hiyo hajacomplicate...
Mangi kaweka na cha juu we hujàmuelewa??
heshima kwa mangi wote...
We ndiyo ndorobo wetu huku jf elewa mangi alisema ni kama 65000 hivi maana yake ndorobo mwenzako alshapunguziwa juu kwaj