Hilo ndilo jibu la hiyo hesabu jamani?

Hilo ndilo jibu la hiyo hesabu jamani?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
1240308_10151955754988265_641658738_n.jpg

Wabongo wengi watafeli hii hesabu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Attachments

  • Jibu Hesabu yangu.jpg
    Jibu Hesabu yangu.jpg
    8.9 KB · Views: 330
Kwa hapo pembeni kidogo kutakuwa na limwalimu la hisabati lipo na kiboko...

Nakumbuka enzi tunasoma waalimu wa hisabati ndio walikuwa wanasifika kutandika bakora...
 
Ndio walionifanya nikachukia hesabu Mkuu, sijui waliambiwa wakitupiga ndio tutazielewa?
 
Wanafunzi wengi hawakuwa wakipenda somo la hisabati...

Hivyo kiboko kilitumika kama mwalimu msaidizi...

Hata leo hii naamini si wanafunzi wengi wapendao somo hili hata kama bakora hazihusiki...
 
Kuna ka ukweli ila mimi nahisi nilikuwa simpendi mwalim
 
Back
Top Bottom