Hilo jambo mnalionaje? Mwanamke kumwacha Mwanaume wake kwa madai ya kamchoka

Msitulaumu, jilaumuni ninyi kwa kukosa akili za kuishi nasi.
Hivi unahitaji akili kuishi na mtu, i think hapa ndipo "common sense" ya sasa sio common tena.

Tunahitaji akili kwenye michezo ya akili ila mahusiano yanataka watu wanaojali tu na kuwekeza muda, jitihada na efforts kwa wenzao ili kupata matokeo mazuri.

Hii ya kusema kaeni na sisi kwa akili ni mentality ya kipuuzi tu ambayo watoto wa kike wa sasa mnajipa ili kuficha uovu wenu wa kutotimiza wajibu wenu wa kike katika mahusiano na wanaume zenu na kupenda michezo michezo ya hisia na wanaume mkiona ni burudani kwenu kwasababu inakugharimu nini kuingia katika mahusiano na mtu kwaajiri ya kupewa tuhela twa vocha na kugegedwa.

Kwann kwa binti wa kaliba hii iwe shida kuwabadili wanaume kwa kisingizio cha kuwachoka, mara sijui haniridhishi etc.

Anyways, hata tukisema sana mwisho wa siku sikio la kufa huwa halisikii dawa maana halitibiki. Na kenge kujifunza ni hadi apate mkong'oto wa kumtoa damu puani na masikioni.

Endeleeni kutufanya tukaeni nanyi kwa akili ila waswahili husema ukitaka kuruka basi agana na nyonga yako kabisa maana huenda ukatua vibaya ukavunja kiuno na usitembee tena.

Na pia anaelia leo kesho ndio muda wa kicheko , yule achekae leo kesho ni zamu yake kuanza kububujika michozi na kupata yale maumivu. Anyways, wanaume ndio kila siku wanalalamika hapa JF, nadhani tushajua nani analia leo na nani atalia kesho.....!
 
Hivi unahitaji akili kuishi na mtu, i think hapa ndipo "common sense" ya sasa sio common tena.

Tunahitaji akili kwenye michezo ya akili ila mahusiano yanataka watu wanaojali tu na kuwekeza muda, jitihada na efforts kwa wenzao ili kupata matokeo mazuri.

Hii ya kusema kaeni na sisi kwa akili ni mentality ya kipuuzi tu ambayo watoto wa kike wa sasa mnajipa ili kuficha uovu wenu wa kutotimiza wajibu wenu wa kike katika mahusiano na wanaume zenu.

Anyways, hata tukisema sana mwisho wa siku sikio la kufa huwa halisikii dawa maana halitibiki. Na kenge kujifunza ni hadi apate mkong'oto wa kumtoa damu puani na masikioni.

Endeleeni kutufanya tukaeni nanyi kwa akili ila waswahili husema ukitaka kuruka basi agana na nyonga yako kabisa maana huenda ukatua vibaya ukavunja kiuno na usitembee tena.

Na pia anaelia leo kesho ndio muda wa kicheko , yule achekae leo kesho ni zamu yake kuanza kububujika michozi na kupata yale maumivu. Anyways, wanaume ndio kila siku wanalalamika hapa JF, nadhani tushajua nani analia leo na nani atalia kesho.....!

Ishini nasi kwa akili.
 
Unampa mswaki bila kuongea chochote, mwanamke anaekukubali huwa haogopi kukurekebisha kasoro zako sababu anajua aibu ya mwanaume wake ni aibu yake pia.
Nakubaliana na wewe, hakuna haja ya aibu
 
Back
Top Bottom