Hillary alitema nafasi yake kwa obama ili ajijenge kisiasa. Ali gamble ikiwa obama ataharibu basi yeye atakua safe kutokana na lawama.
Pia ni kawaida USA ukitangaza kugombea urais. Zipo taasisi mbalimbali zinatangaza dau kubwa la pesa la atakayeweza kuibua scandle. itakayokuchafulia taswira.
Kwa mwanamke kua rais wa taifa kama USA, she got long way to go.
But huyu mama Hilary ni very intelligent woman just like Angel Merkel. Na mumewe alikua presidaa ange weza kumsapoti .
Hilary Clinton yupo kWenye jamii ya siri ya Bilderberg. Miongoni mwa jamii zenye nguvu duniani
Jeb Bush anaweza ibuka lakini record ya kaka yake George Bush iliomfanya wakasema ni rais mbovu inaweza kutumika kummaliza kisiasa.
Trump ni mambo ya tuhuma za ubaguzi tu ndio wanamhusisha nazo otherwise midahalo ndio itaamua.
Ishunkubwa USA kwasasa ni uchumi, Ajira, ulinzi, na mambo ya kijamii.