Hili tukio huwa linanichanganya sana

Hili tukio huwa linanichanganya sana

[QUOTE=" nani kwanini kaburi lili chibwa?? Wala hakuna mtu ajuae nini kilicho mpeleka mwenzetu motoni.[/QUOTE]

Pole kwa kuugua mafua ya vidole,, hapo kwenye moto jamaa hakuungua
 
Siulisema hamjalala mlikua macho,karibu na kaburi,"GHAFLA MKASHTUKA KABURI LIMECHIMBWA"" au hiyo ni ndoto?
 
Yaan mi mwenyewe nimeshindwa kuelewa lugha aliyotumia.Nilijua ni Typing Error lkn duuh mwanzo wa habar mpk mwisho.Aisee...Embu tumwache kwanza asome alichoandika.Hakishindwa tutamrudisha grade One akajifunze Kusoma na kuandika si kwa UANDISH huu.
Atakuwa huyo huyo Jose ndiye kaandika maana sijui ni lugha gani hii.
 
Fundisho nnaloona hapa ni kwamba dhuluma sio nzuri, turidhike na tulichonacho
 
Nitaisoma tena hii mada kesho j3 ili niielewe zaidi, maana mwandishi kanichanganya kwelikweli.
 
Wakati unaandika ulikua usha piga jani korofi... Hali ya hewa inaruhusu lakn
 
huyo aliyeingia motoni ilikuwaje sasa?
Ali unguasana pakaleo sina uhakika kama ame pona maana nikitambosana tangu niondoke nyumbani , nanilipo ondoka nili muacha akiwa kesha jiuguza kwa miaka miwili , bila yakupona, hospitalini.
 
[QUOTE=" nani kwanini kaburi lili chibwa?? Wala hakuna mtu ajuae nini kilicho mpeleka mwenzetu

Nizaidi yakuungua yani naweza kusema ali iva nihatari ina tisha, ali lazwa hospitali kwamiaka miwili napaka nina ondoka bado nilimuacha hospitali sina uhakika kama bado yupo hospitali au ali fariki kwani kupona kwake kulikua kukihitaji miujiza.
 
Ukihadidhiwatian, poni:ndotoIla 2072, member: 328141"]Siulisema hamjalala mlikua macho,karibu na kaburi,"GHAFLA MKASHTUKA KABURI LIMECHIMBWA"" au hiyo ni ndoto?[/QUOTE]
Ukihadidhiwa hakika ni ndoto. ila ungeona basi nimiujiza, watu hatujui nini kilicho tokea ila tunachojua nikwamba udongo na msalaba viliondoka kimiujiza miujiza.
 
Back
Top Bottom