Hili tatizo linasababishwa na nin..??

Vw Jr

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
377
341
Habar za mda huu..
Wadau naomba mnisaidiee.. Wakati nafungua fb acc yangu katika kuiprotect nili allow ile "CODES APPROVALS" kwa no angu yangu ambayo nmeuingia fb..

Kuna ck nikalog out... sasa nikitaqa kulog in teenaa wananambiaa log in by aprrovals codes ambazo wanazituma kwenye no angu... Kitu cha kushangaza hawazitumi hizo codes tangu juzi kila nikijaribu kuresend upya haziji mpka dakikaa hiii... Cjui tatizo nn mwenye ujuzi au mtaalam hayo mambo NAOMBA ANISAIDIE tafadhali.. Kuzipata hizo codes...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom