Wanafunzi wakamuuliza Yesu, "Kwa nini basi waandishi husema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?"
Yesu akajibu, "Kweli Eliya atakuja na kurejesha yote; lakini nawaambia kwamba Eliya amekwisha kuja, nao hawakumtambua, bali walimtendea walivyotaka.
Vivyo hivyo Mwana wa Adamu atateswa nao." Ndipo wanafunzi walielewa kwamba alikuwa akizungumza juu ya Yohana Mbatizaji. (Mathayo 17:10-13)
Lakini Injili ya nne (Yohana) inasema:
Hii ndiyo ushuhuda wa Yohana alipoulizwa na Wayahudi makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu, "Wewe ni nani?" Akakiri, wala hakukana, akasema waziwazi, "Mimi si Masiha." Wakamwuliza, "Basi ni nani? Je, wewe ni Eliya?" Akasema, "Sivyo." "Je, wewe ni nabii yule?" Akajibu, "La." (Yohana 1:19-21)
Sasa swali linaibuka:
Ni nani alikuwa na makosa, Yesu au Yohana?
Satirical Yet Awesome G.Man Comada wa moshi njooni mtufafanulie mkanganyiko hu kati ya Mungu na Yohana.