Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Sijui ndo utandawazi... Ila kiukweli hilo tangazo mimi binafsi likionyweshwa huwa naona aibu pale mtoto anaposema uzazi wa mpango... BTW idea yao ni nzur
Tatizo sio ujumbe bali huo ujumbe unafikishaje
Pale wamebugi, wale watoto hawana nafasi katika hilo tangazo,
mimi silielewi coz in reality wale watoto hawajui nini maana ya uzazi wa mpango.
wamechemka tangazo aibu hivi watu kwann sio creative jamani..yani kero sana
Tangazo liko sawa tatizo ni nyinyi wenye tafsiri potofu. Mbona matangazo kama hayo yapo mengi tu mfano lile la watoto wachanga kuhamasishana kwenda kupima HIV. Au unadhani uzazi wa mpango ni kondomu tu? Tangazo linamhusu mtoto pia maana na yeye anahitaji afya bora, elimu bora, maisha bora, nk. Sasa bila mzazi kuzaa kwa mpango watoto watayapataje hayo?Pale wamebugi, wale watoto hawana nafasi katika hilo tangazo,
mimi silielewi coz in reality wale watoto hawajui nini maana ya uzazi wa mpango.
Kwa hisani ya watu wa Marekani.